Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mgeni Tanzania? Mbona unapenda kudanganywa sana? Hili ni tamko la kwanza kama hili wewe kulisikia? Daa namna hiii siyo vizuri kabisa, tena wewe ni mkongwe hapa japo ulikuwa umepotoea sana. Hata mtoto mdogo atakumbia hili ni tamko kama matamko mengine na litapita na kusahaulika.Mh Jaji Mkuu amewahimiza Majaji kuhakikisha wanatoa haki na haki ionekane inatendeka kwa wananchi. Je hili litaonekana kwa vitendo? Muda utatuatia jibu.
Kama kweli anaongea jambo ambalo hawatalitekeleza Mungu anawaona.Wewe ni mgeni Tanzania? Mbona unapenda kudanganywa sana? Hili ni tamko la kwanza kama hili wewe kulisikia? Daa namna hiii siyo vizuri kabisa, tena wewe ni mkongwe hapa japo ulikuwa umepotoea sana. Hata mtoto mdogo atakumbia hili ni tamko kama matamko mengine na litapita na kusahaulika.
Wanaweza kunadilika. Mbona Wakili Madeleka amepewa dhamana pamoja na danadana za hapa na pale?Wewe ni mgeni Tanzania? Mbona unapenda kudanganywa sana? Hili ni tamko la kwanza kama hili wewe kulisikia? Daa namna hiii siyo vizuri kabisa, tena wewe ni mkongwe hapa japo ulikuwa umepotoea sana. Hata mtoto mdogo atakumbia hili ni tamko kama matamko mengine na litapita na kusahaulika.
Mkuu Mungu alitupa maarifa na nguvu. Hawa watu hata uwatishie nini kuhusu Mungu ni kazi bure. Hawa bila wananchi kukiwasha hakuna kitakachobadilika.Kama kweli anaongea jambo ambalo hawatalitekeleza Mungu anawaona.
Wangeacha tu kushika hiyo misaafu kinachoendelea ni kufuru kwa vitabu vitakatifu maana unaapa alafu unabaki unafanya mambo yako.Mambo ya kiapo kushika biblia msaafu boshen tu
Ova
Kwani unafikiri saa mbovu haiwi sahihi wakati mwingine? Fuatilia historia ya ufunyaji haki popote duniani, kuna wachache wanaobahatika kupata haki. Hata makaburu n ubaya wao kuna weusi waliobahatika mara moja moja kupata haki.Wanaweza kunadilika. Mbona Wakili Madeleka amepewa dhamana pamoja na danadana za hapa na pale?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa wateule walioapishwa leo na amewakaribisha katika kuwatumikia wananchi na watanzania kwa ujumla.
Suala la kutoa haki ni la Mungu peke yake, kama Mungu amekujalia umeteuliwa kusimamia haki za wanadamu wenzio, unafanya kazi inayofanana na hiyo. Nendeni kasimamieni haki, amesema Rais Samia.
Amewaasa majaji hao kufuata falsafa ya R4 ambayo amezichagua kama falsafa inayoongoza utendaji wa Serikali yake.