Ikulu-Dar es Salaam: Rais Samia awaapisha Majaji. Asema suala la kutoa haki ni la Mungu peke yake

Mh Jaji Mkuu amewahimiza Majaji kuhakikisha wanatoa haki na haki ionekane inatendeka kwa wananchi. Je hili litaonekana kwa vitendo? Muda utatuatia jibu.
 
Mh Jaji Mkuu amewahimiza Majaji kuhakikisha wanatoa haki na haki ionekane inatendeka kwa wananchi. Je hili litaonekana kwa vitendo? Muda utatuatia jibu.
Wewe ni mgeni Tanzania? Mbona unapenda kudanganywa sana? Hili ni tamko la kwanza kama hili wewe kulisikia? Daa namna hiii siyo vizuri kabisa, tena wewe ni mkongwe hapa japo ulikuwa umepotoea sana. Hata mtoto mdogo atakumbia hili ni tamko kama matamko mengine na litapita na kusahaulika.
 
Ni wajibu wake kunena hivyo,ulitarajia aseme hadharani kua watende yasiyo haki?
Ndomaana kuna vikao vyao,ambapo kamera huwa haipo.
 
Kama kweli anaongea jambo ambalo hawatalitekeleza Mungu anawaona.
 
Wanaweza kunadilika. Mbona Wakili Madeleka amepewa dhamana pamoja na danadana za hapa na pale?
 
Kama kweli anaongea jambo ambalo hawatalitekeleza Mungu anawaona.
Mkuu Mungu alitupa maarifa na nguvu. Hawa watu hata uwatishie nini kuhusu Mungu ni kazi bure. Hawa bila wananchi kukiwasha hakuna kitakachobadilika.
 
Mambo ya kiapo kushika biblia msaafu boshen tu

Ova
Wangeacha tu kushika hiyo misaafu kinachoendelea ni kufuru kwa vitabu vitakatifu maana unaapa alafu unabaki unafanya mambo yako.
 
Wanaweza kunadilika. Mbona Wakili Madeleka amepewa dhamana pamoja na danadana za hapa na pale?
Kwani unafikiri saa mbovu haiwi sahihi wakati mwingine? Fuatilia historia ya ufunyaji haki popote duniani, kuna wachache wanaobahatika kupata haki. Hata makaburu n ubaya wao kuna weusi waliobahatika mara moja moja kupata haki.
 
Mbona Hawa watu wanachokitamka ni tofauti na wanachokitenda!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…