Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga

Wewe una roho ya ubaguzi. Wachaga walikukosea Nini?. Mbona tulitawaliwa na msukuma mpaka leo Kuna raia hawajulikani wapo wapi wameuawa au kupotezwa?.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wafuasi wa chadema wamesahau kama huyu ndiye aliyehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi
na wenzake watatu washafungwa.
Mama anaupiga mwingi ngoja tuone hatima yake.

Wewe ndio huelewi. Kutokana na hayo Ndio maana mama amkutana na My Mbowe kuweka Mambo sawa.
 
Kuja kushabikia siasa tena
Angetulia kwanza wajinga hapa wamepigwa haswaaa
 
Misimamo ya kisiasa si misimamo ya kidini au ya kiukoo. Leo Urusi kamvamia na kumpiga sana Ukraine. Upatanishi utafanyika na vita vitakoma! Na Urusi anaweza kupongezwa na Kila mmoja kwa jitihada zake kurejesha amani.

Ukiielewa siasa huwezi kuwa na adui wa kudumu.
 
Jiwe alishakufa na mbowe kala kibano cha maiezi 8 chini ya Hangaya na leo kaenda kumsujudia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa sina mbavu kwa jinsi machadema yanavyoshangilia!

Kamata, weka ndani miezi nane, aahhh sina nia na kesi, njoo ikulu, shangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ni mpumbavu na Hayawani pekee anayeweza dhani kuwa Mbowe angekataa Mwaliko wa Rais. Kifupi MACCM including you mmefura balaaa
 
Ni mpumbavu na Hayawani pekee anayeweza dhani kuwa Mbowe angekataa Mwaliko wa Rais. Kifupi MACCM including you mmefura balaaa
Tumefuraje?

Yani mtu akuzabue mabao chungu nzima alafu mwishowe akwambie aahh..njoo tuongee, huku mzabuliwa anashangilia kwamba nmemkomesha mzabuaji?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio huelewi. Kutokana na hayo Ndio maana mama amkutana na My Mbowe kuweka Mambo sawa.
Nyie watu mnafurahisha kweli kweli..
Mbowe sio mara yake ya kwanza kwenda ikulu hata kwa kikwete
ameenda sana ikulu.
Mko very personal ndio maana hamuwezi kufika popote.
 
Hahahha... Yani siasa bana!

Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Hilo jina la mwamba walikuwa wanamuita nyumbu wenzio.
Ila Sasa kalainika
Wewe haukuwahi kilitaja kwa kutoamini kuwa ni mwamba maana uliaminisha watu kuwa yeye ni Gaidi na lazima aozee jela, sasa twambie

Imekuwaje na wapi uliona Gaidi lolote duniani anaingia ikulu, nani kamwita huko?au anaenda kushirikiana na Rais kufanya ugaidi? Acha porojo za eti kafika bei,

Ndipo muone ujinga wenu ulivyo mwingi.
Hilo jina la mwamba walikuwa wanamuita nyumbu wenzio.
Ila Sasa kalainika
 
Safari ya kina COVID 19 imeiva kuswagwa Kama mbuzi Bungeni.
 
Jiwe alishakufa na mbowe kala kibano cha maiezi 8 chini ya Hangaya na leo kaenda kumsujudia!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Hii kesi imeanzia kwa jiwe. Kama kusujudu My angetaka kusujudu, angesujudu kipindi Cha mwendazake, alipofungiwa akaunti, kubomolewa bilcanass, kufungiwa Tanzania daima, kuharibiwa shamba etc
 
Hoja za Kijinga sana hizi. Sema hujapenda baada ya Mapambio yako humu kuwa Mbowe ni Gaidi kufail. Yuko huru sasa. Jinyonge otherwise shut up your ugly mouth.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona una hasira sana?

We unafikri lengo la hangaya lilikuwa nini?

Mwamba angekomaa kwamba hasujudu angeozea jela!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…