Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ukiona mwanga jua kulikuwa na GizaKwa nukuu hizo tatu najiuliza je, kashauriwa au kaamua mwenyewe kwenda Ikulu mara tu baada ya kesi yake kuondolewa mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona mwanga jua kulikuwa na GizaKwa nukuu hizo tatu najiuliza je, kashauriwa au kaamua mwenyewe kwenda Ikulu mara tu baada ya kesi yake kuondolewa mahakamani?
Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
wafuasi wa chadema wamesahau kama huyu ndiye aliyehojiwa na bbc na kusema Mbowe ni gaidi
na wenzake watatu washafungwa.
Mama anaupiga mwingi ngoja tuone hatima yake.
Misimamo ya kisiasa si misimamo ya kidini au ya kiukoo. Leo Urusi kamvamia na kumpiga sana Ukraine. Upatanishi utafanyika na vita vitakoma! Na Urusi anaweza kupongezwa na Kila mmoja kwa jitihada zake kurejesha amani.Shangaa na wewe!
CCM itatawala Tanzania kwa muda mrefu sana maana inajua jinsi ya kuwa manipulate wapinzani na hata wananchi!
Jamaa kafungwa na Samia miezi nane. Kwa muda wote huo kaitwa gaidi.
Kapotezewa muda wake kwa kesi ya mchongo.
Leo kaachiliwa bila masharti yoyote na CHADEMA wanampongeza yuleyule aliyemfunga.
Mbowe kapotezewa muda wake kwa miezi yote hiyo na hawezi kupata fidia yoyote ile!
Badala yake anaalikwa ikulu ili aende kumshukuru mtu yule yule aliyemfunga hapo awali!
Only in Tanzania!!!!!
Je, baada ya giza kitakachoonekana kinahusu nini? Ni swali la kujiuliza kabla ya kufurahia ujio wa mwanga.Ukiona mwanga jua kulikuwa na Giza
Jiwe alishakufa na mbowe kala kibano cha maiezi 8 chini ya Hangaya na leo kaenda kumsujudia!Mbowe na makomandoo watatu wanaonekena kuwa wahanga wa utawala na siasa za jiwe zaidi kuliko mrithi wake. Wanaoonekana kukerwa na kuteseka zaidi siku ya leo ni mataga na hardliners kwenye system waliorithiwa kutoka enzi za jiwe na hao ndio watatupiwa lawama yote ya sakata la Mbowe. Hili ni jambo zuri kwa afya ya taifa na demokrasia yetu.
Ni mpumbavu na Hayawani pekee anayeweza dhani kuwa Mbowe angekataa Mwaliko wa Rais. Kifupi MACCM including you mmefura balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi hapa sina mbavu kwa jinsi machadema yanavyoshangilia!
Kamata, weka ndani miezi nane, aahhh sina nia na kesi, njoo ikulu, shangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hi bado, mpaka hangaya aamue
Tumefuraje?Ni mpumbavu na Hayawani pekee anayeweza dhani kuwa Mbowe angekataa Mwaliko wa Rais. Kifupi MACCM including you mmefura balaaa
ccm ni hatàri kupindukiaSema hamtabiriki msije mkambagaza kama mlivyofanya kwa slaa manake hamna shukrani.
View attachment 2139118
Nyie watu mnafurahisha kweli kweli..Wewe ndio huelewi. Kutokana na hayo Ndio maana mama amkutana na My Mbowe kuweka Mambo sawa.
Hoja za Kijinga sana hizi. Sema hujapenda baada ya Mapambio yako humu kuwa Mbowe ni Gaidi kufail. Yuko huru sasa. Jinyonge otherwise shut up your ugly mouth.Jiwe alishakufa na mbowe kala kibano cha maiezi 8 chini ya Hangaya na leo kaenda kumsujudia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hahahha... Yani siasa bana!
Mtu anakufunga miezi karibu 9 alafu mwishowe anakwambia njoo tuyajenge, alafu unaanza kushangilia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wewe haukuwahi kilitaja kwa kutoamini kuwa ni mwamba maana uliaminisha watu kuwa yeye ni Gaidi na lazima aozee jela, sasa twambieHilo jina la mwamba walikuwa wanamuita nyumbu wenzio.
Ila Sasa kalainika
Hilo jina la mwamba walikuwa wanamuita nyumbu wenzio.
Ila Sasa kalainika
Ni hatari tu kama hawajamwaga mpunga wakimwaga mpunga tunawauzia chama na form ya urais.ccm ni hatàri kupindukia
Jiwe alishakufa na mbowe kala kibano cha maiezi 8 chini ya Hangaya na leo kaenda kumsujudia!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona una hasira sana?Hoja za Kijinga sana hizi. Sema hujapenda baada ya Mapambio yako humu kuwa Mbowe ni Gaidi kufail. Yuko huru sasa. Jinyonge otherwise shut up your ugly mouth.