Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Mimi sishauriwi, ukinishauri ndio umeharibu kabisa, ashukuriwe Mungu kwa kutuondolea mzimu ule haya yote tusingekuwa tunayaona, Tundu Lissu na wenzake wangeozea ukimbizini, kwa mwendelezo huu ninamuona Lissu na wenzake wakirudi nchini mwao kama raia huru.
 
Alilishwa matango pori na yeye hakuhusika, mtangulizi wake ndo aliisuka hii kesi
Ni utapiamlo wa akili kumtetea mtu mzima tena ambae ni Rais.Kwani yeye alishindwa kutofautisha kati ya matango pori na matango mji?
 
"Mbowe sio malaika" , "tunao ushahidi wa lutosh" sources YTube. Leo aliekua anatuhumiwa kaingia mjengoni.. this kantri hard kwakwel[emoji53]
 
Je , mtapata mtu wa kutetea maslahi yenu ya kiuchumi tena?

Maslahi yenu ya kisiasa tena?

MaIsha yetu yatabadilika tena na kuwa maisha mazuri maana mwamba ataibadana serikali dhalimu ya CcM?
 
Kwa vile hukukaa ndani wewe,Mbowe atapumzika kwanza kwasababu ile nia imeahirishwa tuv
 
nashangaa Mbowe's camp hawajaliona hilo, wanazidiwa hesabu na Samia, of all the people..... Walitaka kukutana na Rais as a party, as a movement, sasa Mbowe katolewa jela kajikimbiza Ikulu peke yake...
Exactly,walipaswa wakutane kama chama cha CHADEMA na Rais. Mbowe kafungwa mdomo tayari. Samia kacheza vizuri.
 
hii kesi itakuja kurudishwa tu hata baada ya miaka 20, labda kifo kiamue.
 
Back
Top Bottom