Sasa ile RAIS RAIS siku ile ilikuwa ya nani? Mbunge wa Nkasi manamtambua- acheni uchuro basi
Aomba uipitie upya sheria hiyo specifically kifungu husika.Hakuna masharti ni sheria inasema hivyo
Tuchague rais GAIDIWalikuwa wanaamanisha Rais Ajaye, Mbowe hata hakugombea urais 2020! Mbona unahitaji akili kiduchu sana kuling'amua hili!
91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza.Aomba uipitie upya sheria hiyo specifically kifungu husika.
Kuna tofauti kubwa ya kuachiwa huru bila masharti youote na kuachiwa huru kwa masharti.
Hizi terms mbili hazijawekwa wala kutamkwa kwa bahati mbaya bali zina maana kubwa kwenye issue za kisheria.
Yuko HURU SASA. Unasemaje???CHADEMA hajawahi kutambua kuwepo kwa serikali toka 2020- 18/2 Mbowe alipoletwa mahakani si mliimba pambio- rais rais- unajitoa ufahamu
Kitendo cha kumuita tu, ni msamaha tosha..Ssh kaamua kumuomba msamaha Fam.
Alimishwe kwa kosa gani?Na walikuwa hawamlishi dah[emoji24][emoji24][emoji24]
Kapewa uhuru tu hajaupata mwenyewe na waliompa wakiutaka watauchukua huo uhuru wake- UWE UNA ELEWAYuko HURU SASA. Unasemaje???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kualikwa kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sheria huwa haijitafsiri yenyewe ndo maana kuna law interpretation kama golden,mischief na kingine nimesahau kidogo ambazo hutumiwa na mahakama kutafsiri sheria.91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile
kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa
Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza
mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa
niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapo
mtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle
prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa
kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake
watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa
hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye
dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.
Kwani hao matanga ndio walimweka ndani? Samia ndiye alikuwa amemweka ndani, sasa kaona ameshika adabu, viongozi mbalimbali wa dini wamempigia magoti akaamua kumwachia,na amempa mashariti asije akadhubutu tena kusema chochote kuhusu serika yake.mama anatuchanganya sana mataga.. anabadilika badilika kama kinyonga hahaha..sjui tuparamie lipi muda huu.. #aliskika mataga mmoja kutoka mchafukoge street
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwashee ile tu kwenda ikulu ni kumsujudia hangaya!Ni wapi kaomba msamaha? Au ni hisia za ujinga wako, mbona mlimlazimisha awaombe msamaha na aliwakatalia hata mkaamua kujificha kupitia kwa Zitto na baadae dini, hii ilikuwa ni kuficha aibu ya "nitoke vipi"
Mmeomba "poo" wenyewe na mwamba hana roho mbaya ya kishetani kama yenu anataka amani na ustawi wa taifa letu.
Mkuu ungekuwa na akili ungejiuliza kwamba inakuwaje gaidi ameenda kumsujudia mtu aliemfunga kwa miezi 8?Acha kujifariji tunajua nia yako ya ushetani haijatimia kama ambavyo ulikuwa unajiapiza humu kwamba lazima Mbowe afungwe kuwa ni Gaidi,
Swali je leo Gaidi anaenda kupanga ugaidi na mwenyekiti wako Ikulu?
Imekuwaje hajafungwa? Mbona haya unayoyaongea leo haukuyaongea kabla ya kuachiwa kwa Mbowe.
Kunywa maji uondoe hilo fundo la ushetani kooni mwako.
inawezekana alikuwa ANALAMBA SUKARI KULE SELOπππAlijua atatoka ndiyo maana hakuwa na pressure
Yaani katoka sello nashavu dodo utazani alikuwa kwenye nyumba ya kifahari iliyosheni Kila kitu yaani mazagazaga kama yoote
Kaenda kushukuru.Hii ni kama zama za JK wapinzani kwenda Ikulu kunywa chai na kupiga selfie na Rais πππ
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam...
Hata Makamu Mwenyekiti alikubali kukutana na Rais.
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam...
Kwa ujio huu mpya wa MH. Mbowe, Naona MWISHO WA ILE SAFARI YA KULILIA KATIBA MPYA UMEHITIMISHWA HAPO.Mwanzo mzuri ila wasije badilika kati kati ya safari katiba ni ya muhimu sana.