Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Walikuwa wanaamanisha Rais Ajaye, Mbowe hata hakugombea urais 2020! Mbona unahitaji akili kiduchu sana kuling'amua hili!
Sasa ile RAIS RAIS siku ile ilikuwa ya nani? Mbunge wa Nkasi manamtambua- acheni uchuro basi
 
Hakuna masharti ni sheria inasema hivyo
Aomba uipitie upya sheria hiyo specifically kifungu husika.

Kuna tofauti kubwa ya kuachiwa huru bila masharti youote na kuachiwa huru kwa masharti.

Hizi terms mbili hazijawekwa wala kutamkwa kwa bahati mbaya bali zina maana kubwa kwenye issue za kisheria.
 
Walikuwa wanaamanisha Rais Ajaye, Mbowe hata hakugombea urais 2020! Mbona unahitaji akili kiduchu sana kuling'amua hili!
Tuchague rais GAIDI

91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile
kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa
Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza
mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa
niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapo
mtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle
prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa
kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake
watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa
hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye
dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.
 
Aomba uipitie upya sheria hiyo specifically kifungu husika.

Kuna tofauti kubwa ya kuachiwa huru bila masharti youote na kuachiwa huru kwa masharti.

Hizi terms mbili hazijawekwa wala kutamkwa kwa bahati mbaya bali zina maana kubwa kwenye issue za kisheria.
91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza.

mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapo
mtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa
kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa
hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.
 
Yuko HURU SASA. Unasemaje???
Kapewa uhuru tu hajaupata mwenyewe na waliompa wakiutaka watauchukua huo uhuru wake- UWE UNA ELEWA
91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapo mtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kualikwa kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
91.-(1) Katika kesi yoyote ya jinai na katika hatua yoyote ile
kabla ya hukumu au uamuzi, kama itakavyokuwa, Mkurugenzi wa
Mashtaka anaweza kuweka nolle prosequi, aidha kwa kueleza
mahakamani au kwa kuiambia mahakama husika kwa maandishi kwa
niaba ya Jamhuri kuwa mwenendo hautaendelea; na baada ya hapo
mtuhumiwa ataachiwa mara moja kuhusiana na shtaka ambalo nolle
prosequi imewekwa na kama amepelekwa gerezani atatakiwa
kuachiwa, au kama yuko chini ya dhamana wadhamini wake
watakoma kuwa wadhamini; lakini kuachiwa huko kwa mtuhumiwa
hakutachukuliwa kama kizuizi kwa mashtaka mengine ya baadaye
dhidi yake kwa kutumia maelezo hayo hayo.
Sheria huwa haijitafsiri yenyewe ndo maana kuna law interpretation kama golden,mischief na kingine nimesahau kidogo ambazo hutumiwa na mahakama kutafsiri sheria.

Kutafsiri sheria maana yake panatokea gap ya kisheria hapo mahakama inaweza kuitafsiri sheria kwa kuangalia aidha intention ya legislation ama mazingira ya kifungu husika kwa ku apply case laws ama vinginevyo.

Hicho kifungu ni miongoni mwa vifungu vinavyohitaji tafsiri ya mahakama kwakuwa mahakama inapotamka mtu kuachiwa huru pasipo masharti ama kwa masharti kuna maana zake.

Ngoja ntachimba kidogo makabrasha yangu nikuletee vifungu ama ufafanuzi wa kesi zilizokwisha amuliwa kwa mtindo wa Nolle Prosequi.
 
mama anatuchanganya sana mataga.. anabadilika badilika kama kinyonga hahaha..sjui tuparamie lipi muda huu.. #aliskika mataga mmoja kutoka mchafukoge street
Kwani hao matanga ndio walimweka ndani? Samia ndiye alikuwa amemweka ndani, sasa kaona ameshika adabu, viongozi mbalimbali wa dini wamempigia magoti akaamua kumwachia,na amempa mashariti asije akadhubutu tena kusema chochote kuhusu serika yake.

Na Mbowe nimemsikia anasema ataanza kufanya siasa za kistarabu Ili kumpa nafasi Samia kitawala vizuri 🤣🤣🤣wafua wa Mbowe eti wanashangiria.Eti Mbowe nikama Mandela 🤣🤣🤣 , Mandela yupi aliyekubaliana na makaburu walipomtoa jela,akakubari kufanya siasa za usitarabu?

Hapa ndipo angelikomaa kuwa haturudi nyuma tunaendea kudai haki Mpaka ipatikane,hapo ningemwona Mbowe ni mpambanaji, lakini kaminywa kidogo amenyea,eti tutafanya siasa za usitarabu,kumbe tokea mwanzo walikuwa wakifanya siasa za fujo 😄😄🤣
 
Ni wapi kaomba msamaha? Au ni hisia za ujinga wako, mbona mlimlazimisha awaombe msamaha na aliwakatalia hata mkaamua kujificha kupitia kwa Zitto na baadae dini, hii ilikuwa ni kuficha aibu ya "nitoke vipi"

Mmeomba "poo" wenyewe na mwamba hana roho mbaya ya kishetani kama yenu anataka amani na ustawi wa taifa letu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwashee ile tu kwenda ikulu ni kumsujudia hangaya!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujifariji tunajua nia yako ya ushetani haijatimia kama ambavyo ulikuwa unajiapiza humu kwamba lazima Mbowe afungwe kuwa ni Gaidi,

Swali je leo Gaidi anaenda kupanga ugaidi na mwenyekiti wako Ikulu?

Imekuwaje hajafungwa? Mbona haya unayoyaongea leo haukuyaongea kabla ya kuachiwa kwa Mbowe.

Kunywa maji uondoe hilo fundo la ushetani kooni mwako.
Mkuu ungekuwa na akili ungejiuliza kwamba inakuwaje gaidi ameenda kumsujudia mtu aliemfunga kwa miezi 8?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ninachojiuliza ..kwa Nini Samia ametumia mda mrefu hivi ...Jambo hili likachukua mda wore huo...!?
 
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam...
Hata Makamu Mwenyekiti alikubali kukutana na Rais.

Wote wanajielewa. Na ili ANDIKO litimie kwa Rais basi aamuru kuwarejeshea mali zao na amana zao. Mbowe amedhulumiwa na kudhalilishwa sana na awamu ile.

Lisu ameteseka kuponea pa uzi na hakupata kulipiwa matibabu matokeo hata ubunge wake kafutiwa.

Mbona dogo NAsari alilipwa na bado kupewa shavu!!
 
Back
Top Bottom