Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Katika ulimwengu wa siasa siku moja ni sawa na mwaka.

Salamu ziwafikie wanafiki wote.

Mbowe angekua hajaoa ningempa binti yangu bure.

Lina heri tumbo lililomzaa Freeman Haikaeli Mbowe...

Lina heri tumbo lililomzaa Tundu Lissu

Namheahimu sana Samia Suluhu Hassan.
 
Ndembendembeee....chaliiiiiii

Baada ya Mwenyezi Mungu iogope serikali......
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kualikwa kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. 😁😁😁😁😁
 
Sema hamtabiriki msije mkambagaza kama mlivyofanya kwa slaa manake hamna shukrani.

 
Decapitating blow to the course of opposition.

Freeman Mbowe has committed to behaving better by practicisng “civilized politics.”

Promises that Nelson Mandela vociferously declined to make prior to his release from the brutish concentration labor camps of apartheid regime.
 
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.

Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…