chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
zero ni mda wake kulea wajukuu.Namhulumia silo na genge kwa kujiingiza kwenye siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zero ni mda wake kulea wajukuu.Namhulumia silo na genge kwa kujiingiza kwenye siasa
Mwamba hakuna ķulala .....Huyu baba ilibidi apumzike yaani katoka leo safari Ikulu
Amteue basi awe hata mkuu wa wilaya ya Arumeru
Ili kukuza Demcrasia
Aisee hata maji amepata kunywa kweli akiwa uraianiMwamba hakuna ķulala .....
Hakika. Hii ni kiutu uzima...Ssh kaamua kumuomba msamaha Fam.
Ndembendembeee....chaliiiiiiiView attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
Ubarikiwe mkuu kwa comment yakoKatika ulimwengu wa siasa siku moja ni sawa na mwaka.
Salamu ziwafikie wanafiki wote.
Mbowe angekua hajaoa ningempa binti yangu bure.
Lina heri tumbo lililomzaa Freeman Haikaeli Mbowe...
Lina heri tumbo lililomzaa Tundu Lissu
Namheahimu sana Samia Suluhu Hassan.
Sema hamtabiriki msije mkambagaza kama mlivyofanya kwa slaa manake hamna shukrani.Katika ulimwengu wa siasa siku moja ni sawa na mwaka.
Salamu ziwafikie wanafiki wote.
Mbowe angekua hajaoa ningempa binti yangu bure.
Lina heri tumbo lililomzaa Freeman Haikaeli Mbowe...
Lina heri tumbo lililomzaa Tundu Lissu
Namheahimu sana Samia Suluhu Hassan.
Dhahiri !..Samia kaamua kumuomba msamaha na kumpa pole Freeman.
Naongezea ni Mwanaume mwenye Uwanaume ndani yakeMbowe ni mwanaume kati ya wanaume