Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Binafsi sijui hata nijifunze kipi katika hayo yote?
Kama mbowe sio gaidi (na pengine ndivyo ilivyo) lakini nakumbuka 'mama' alisema kuna viashiria vya ugaidi hapa nchini, je wahusika ni akina nani?
Kwa kifupi kesi imeacha maswali mengi kwa watz walio wengi
 
Naona hili pia lilikua kwenye makubaliano. Niki kutoa tu break ya kwanza uje Ikulu unipe coverage na mimi rejea kwa ndugai
 
Politikisi zetu pasua kichwa
 
Maneno Mazito sana Haya Mungu akubariki
 
Uvccm wamenuna..wanaanda maigizo mengine ili wanate na biti la sasa...

#MaendeleoHayanaChama
 
mama anatuchanganya sana mataga.. anabadilika badilika kama kinyonga hahaha..sjui tuparamie lipi muda huu.. #aliskika mataga mmoja kutoka mchafukoge street
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu unenichekesha usiku huu eti juhudi zake binafsiπŸ˜¬πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga
 

..Ssh pia alisema " watuhumiwa wenzake " Fam wameshahukumiwa, kitu ambacho si kweli.

..sasa kama amemuita Ikulu maana yake ni kuomba mapatano na Fam kwa unyanyasaji aliofanyiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…