Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Usijifiche kwenye kivuli cha bei tumekushtukia.Mchana niliwaambia wenzio mwamba kafika bei.
Hawakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijifiche kwenye kivuli cha bei tumekushtukia.Mchana niliwaambia wenzio mwamba kafika bei.
Hawakuelewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.
Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
[/QUOT
Huo ulikuwa mkutano wa kupatanishana na kupunguza hasira za upande mmoja. Kumbuka chadema Ina wanasiasa wengi sio Mbowe pekee yake.
Labla mwehu pekee naamini hana aibu na kujua hili baya au nzuri naamini ukiachana na kuombewa msamaha ila katika vitu ambavyo Mama vilikuwa vikimuumiza mno na kuona haya ni hii kesi naamini leo hata yeye atalala kwa amani hata ingekuwaje mbowe angetoka so acha Roho mbayaHuyu mtoto wa ubatizo wa baba wa taifa ameonewa huruma baada ya kamasi kumtoka....kwani akina Bagonza ,Sheikh Ponda ,Katimba hukuwasikia wakiubembeleza HURIA yake?!!! 🤣
Usijifiche kwenye kivuli cha bei tumekushtukia.
NA KAWA GIZA KWA MATAGA!Mnacheka huku mnaumia?
Hapo anatafutiwa kateuzi kake akiona mtapiga kelele anamwambia amuwekee mzigo wake.
LEO SAMIA KAWA NURU KWA BAVICHA
Nyuma ya pazia mengi yamefanikisha haya tunayoyaona ikiwemo kule Belgium, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu kukutana na Rais Samia na leo hapa Dar es Salaam Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata nafasi ya kukutana na rais Ikulu baada ya kutoka mahabusu gerezani
Mbowe ndembendembeee.....
Nimekuelewa mchepuko wa bro MboweUna uhakika gani kuwa alikuwa mbali na mke wake? Mengine yaache kama yalivyo, wewe cheza na keyboard
Hiyo akili kubwa ndio ilimfunga mbowe..
Mbona unaongea kama umekatwa kichwa.
View attachment 2139083
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.
Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.
Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.
Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====
Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022
View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058
Sababu ya haraka ya kumwita 'Gaidi' ikulu, nani ana maelezo yanayoeleweka hapa?
Jiulize pia ilipangwa lini na Raisi kukutana na Mbowe?
Haikuwa gafula[emoji16][emoji16]
Kumpa pole sawasawa, msamaha hapana..
Usiseme utadhani, ila uliyoyasema ndo ukweli huo. Sisi wananchi wa kawaida huwa tunafanyiwa maigizo na kuyapokea yalivyo ndo maana ikaitwa sirikali.Alijua atatoka ndiyo maana hakuwa na pressure
Yaani katoka sello nashavu dodo utazani alikuwa kwenye nyumba ya kifahari iliyosheni Kila kitu yaani mazagazaga kama yoote
Sawasawa mkuu....kwenye lugha nyingine pole na msamaha ni neno moja.
Ni masuala ya KUFIKA BEI