Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Mnacheka huku mnaumia?
Hapo anatafutiwa kateuzi kake akiona mtapiga kelele anamwambia amuwekee mzigo wake.
LEO SAMIA KAWA NURU KWA BAVICHA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
K
Najiuliza tu kulikuwa na ulazima wa gani aende leo leo? Au ndiyo kondisheni mojawapo ya kutoka? Anyway ngoja niendelee kula bisi, karibu mtaani FAM.

Binafsi naona ni mbinu za medani tu,kumset ili apewe mwongozo na marking schemes ya the do's and the don't
[/QUOT

Huo ulikuwa mkutano wa kupatanishana na kupunguza hasira za upande mmoja. Kumbuka chadema Ina wanasiasa wengi sio Mbowe pekee yake.
 
Huyu mtoto wa ubatizo wa baba wa taifa ameonewa huruma baada ya kamasi kumtoka....kwani akina Bagonza ,Sheikh Ponda ,Katimba hukuwasikia wakiubembeleza HURIA yake?!!! 🤣
Labla mwehu pekee naamini hana aibu na kujua hili baya au nzuri naamini ukiachana na kuombewa msamaha ila katika vitu ambavyo Mama vilikuwa vikimuumiza mno na kuona haya ni hii kesi naamini leo hata yeye atalala kwa amani hata ingekuwaje mbowe angetoka so acha Roho mbaya
 
Nyuma ya pazia mengi yamefanikisha haya tunayoyaona ikiwemo kule Belgium, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu kukutana na Rais Samia na leo hapa Dar es Salaam Mwenyekiti Freeman Mbowe kupata nafasi ya kukutana na rais Ikulu baada ya kutoka mahabusu gerezani


Nadhan watanzania watakuwa sahihi kuiita chadema CCM B, ndicho kinachoonekana kwenye picha zote 2 ile ya tundu lissu na mbowe leo,

Sijawahi kua na uzoefu kuiyona chadema iki-sarender kwa kiwango hichi kwa mamlaka, yaani Chadema wenyewe wameenda mbali kuliko huyo Zitto wanayemuita mnafiki
 
View attachment 2139083

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam.

Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki.

Mhe. Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuonesha kwake kujali huku akikubali kuwa msingi mkubwa wa kujenga taila la Tanzania ni kusimama katika haki.

Vile vile, amesema wamekubaliana kufanya siasa za kistaarabu na kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali katika kuleta maendeleo ili nao pia waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.
View attachment 2139172
View attachment 2139159
====

Picha Mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar Es salaam leo tarehe 04 March 2022

View attachment 2139037View attachment 2139038View attachment 2139039View attachment 2139058

1646426288432.png
 
Jiulize pia ilipangwa lini na Raisi kukutana na Mbowe?
Haikuwa gafula[emoji16][emoji16]

Unajuaje haikuwa ghafla. Ilibidi Rais aonane naye mapema kabla Mambo hayaja haribika, waweke Mambo sawa. Maana Rais ndio aliyeiambia dunia kwamba Mbowe Ni Gaidi na alikimbia kujificha nje ya nchi.
 
Alijua atatoka ndiyo maana hakuwa na pressure
Yaani katoka sello nashavu dodo utazani alikuwa kwenye nyumba ya kifahari iliyosheni Kila kitu yaani mazagazaga kama yoote
Usiseme utadhani, ila uliyoyasema ndo ukweli huo. Sisi wananchi wa kawaida huwa tunafanyiwa maigizo na kuyapokea yalivyo ndo maana ikaitwa sirikali.
 
Back
Top Bottom