IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Mama toa wafungwa wote waliofungwa Kwa hila na yule mwendawazimu anaeungua huko jehanum.

Wanachadema wengi walifungwa magereza mbalimbali Kwa uonezi na yule shetani.
 
Naam historia inaniambia JK alikuwa akifanya hivyo ila wadau waliishia tu kunywa Juice bila matokeo yoyote
 
Ukimya wa Mbowe Kwa yanayoendelea nchini kama GT natumai Kuna makubaliano Fulani yamefikiwa juu ya upatikanaji wa KATIBA mpya. Muda utaongea.
 
Mbowe angelipwa na serikali mngeharibu biashara zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…