Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hata Membe leo amekuwa Ikulu ,, kabla ya Ijumaa tumepanga Zitto naye aonane na Mama !!Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
uko nyuma sanaTangu atoke jela, sijasikia kongamano la katiba mpya tena. Nasikia tu vimaneno maneno kuhusu katiba mpya huku mwenye mitandao. Hivi vimaneno vya kwenye mitandao vinatosha kweli kutuletea katiba mpya?
Ushapigwa tiktaka wwMungu ibariki Chadema
uko nyuma sana
Mzee Mboe kapika piko, uchaguzi wa 2025 atapaka lipstick
Tujenge nchi pamoja sasa.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
COVID-19 mguu pande, mguu sawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
najua kuliko wewe , hakuna tiktaka wala chogo chembaUshapigwa tiktaka ww
Jipe moyonajua kuliko wewe , hakuna tiktaka wala chogo chemba
Na wale NGOGWE Wana Hadi ya kualikwa kwenye fiesta.Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
Siku za kina COVID 19 zinahesabikaNadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
Unajisigina kissimiNikikumbuka zile agenda za baraza kuu la Chadema tarehe 11, Katiba Mpya iko pale, naamini hata kwenye akili ya Mbowe hapo kikaoni ipo pia.
Hawa ni viongozi, matokeo yataonekana, lakini sio lazima mimi na wewe tujue. Tena tutaona mazuri mengi bora Mh.Mbowe amekirudisha chama kwenye mikono yake na kupunguza nguvu za wale magaidi na wakimbiziInapendeza mradi matokeo yaonekane
Piko zinamweka juu mboe make hazeeki kabisa.Haichekeshi.