IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

Leo tarehe 10 April 2021. Mjumbe maalumu wa rais wa jamhuri ya watu wa Kenya atamtembelea mama Samia Suluhu kwa mazungumzo maalumu. View attachment 1748214
Kama kawaida yao wamekuwa kupeleleza opportunities ili waone jinsi nchi ilivyokuwa imefagiliwa na kupambwa ili waende kusuka mipango. Mpango wa Mungu kwa Tanzania upo palepale hata kama Musa ameondoka.
 
Duh.
 
Jamaa kaacha sumu mbaya sana!
 
Samia ameamua kurudisha makao makuu ya serikali Dar? Maana siku za karibuni shughuli nyingi za Ikulu zinafanyikia Dar badala ya Dom.
 
Watusaidie na jinsi ya kupata chanjo tunaohitaji
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 atakutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hongera sana rais Samia. Kenya ni ndugu zetu lazima tuishi nao kwa upendo na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…