KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
You clearly got something worthwhile in that head!Anayekuambia siasa za Ki-communist zimepitwa na wakati ni mwalimu wa vipofu.Mkuu tunaelekea as we speak to a One World Government,where Communism modelled on the Chinese system will be the political system.
Za chato?Kabisa mkuu sasa hivi nchi imeshatoka kwenye mikono ya ccm sasa ipo mikononi mwa chadema!
iIla msitambe sana,kwa kuwa Taifa lina brake zake,na ninyi mafisadi msisahau kwamba Samia hajateuliwa na wananchi na Chama,kwa hivyo si chaguo la Watanzania.
Mkuu naona sasa hivi na nyie mmeungana na mataga kusifu!Za chato?
Hatujaungana na mataga kusifu. Tunampongeza mama yetu Kwa kukaribisha Nuru Tanzania na tunamshukuru Mungu kwa kumuondoa fedhuli magufuliMkuu naona sasa hivi na nyie mmeungana na mataga kusifu!
Safi sana tuliwaambia hii ndio ccm, hata uichukie vipi utaipenda tu ipo siku.
Ona sasa kiko wapi?
Mkuu, ndio nilichokuwa nasema.Hatujaungana na mataga kusifu. Tunampongeza mama yetu Kwa kukaribisha Nuru Tanzania na tunamshukuru Mungu kwa kumuondoa fedhuli magufuli
Dodoma vipi tena haturudi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1748346
View attachment 1748347
View attachment 1748348
Magufuli kaondolewa na Mungu Ila masalia yake mabovu bado mpo. Taratibu Mungu atawaondoa mmoja baada ya mwingineMkuu, ndio nilichokuwa nasema.
Sasa hivi tanzania mambo safi! Matatizo yote kaondoka nayo Magufuli maana ndio alikuwa tatizo, na tutegemee sasa tanzania kuwa kama ulaya, na hata Lisu na Lema warudi maana mfumo mpya wa uongozi umeingia.
Na hata kule muhambwe chadema waende kushiriki uchaguzi maana sasa hata tume ile Mbovu kaondoka nayo Magufuli sasa hivi ipo huru kabisa.
Yani kifupi sasa tuko upya
viongozi wetu wanatawaliwa na rushwa....kenya uadirifu ndio ngao yao,...wao kutokana na umasikini ulikithiri unao waandama wapo teyari kuchungulia fursa yoyote na kuiendea hiyo fursa bila kujali ugumu wa fursa yenyewe...watanzania tunachoweza ni umbea tu mitandaoni...na si kujitoa muhanga kwaajili ya taifaTunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Hayupo consistent na barakoa yakeRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
View attachment 1748346
View attachment 1748347
View attachment 1748348
Tupo apa Nairobi kitambo kwa nguvu zote ajabuNaona tunarudi DAR kwa nguvu zote
Watoto hawa hawasomi historia ya nchi yaoAcha uchonganishi we mbongo.
Njoo na ushahidi ya haya unayoyasema we unajua nini kilisaababisha east Africa ikavunjika?kwa taarifa yako aliyesababisha ni nyerere na IDD amin.
Mkuu, sasa hivi kila kitu mwemwere, yani sasa hivi tutakuwa kama ulaya!Magufuli kaondolewa na Mungu Ila masalia yake mabovu bado mpo. Taratibu Mungu atawaondoa mmoja baada ya mwingine
Kwa hiyo unamwamini Mchina?I don't trust Uhuru Kenyatta, anatumiwa vibaya sana na nchi za Magharibi.Na siajabu huyo mjumbe kaleta ujumbe maalum kutoka kwa mabeberu.
Hilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.Vita ya uchumi ni ngumu.kuwa makini Kenya inacheza Ngoma ya mabeberu
Usiniwekee maneno mdomoni.Kwa hiyo unamwamini Mchina?
What is a civilized world and what is civilization. Mkuu hivi seriously huoni kwamba hizo ni concepts zenye nia ya enslavement and indoctrination.Come on,zinduka mkuu.That is soft power.Hilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.