IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

Anayekuambia siasa za Ki-communist zimepitwa na wakati ni mwalimu wa vipofu.Mkuu tunaelekea as we speak to a One World Government,where Communism modelled on the Chinese system will be the political system.
You clearly got something worthwhile in that head!
 
Diplomasia za kiuchumi na Geopolitics za Mh. Rais Samia Suluhu Hassan zinaanza kuvutia nchi za jirani. Miaka 5 iliyopita Tanzania ilipotea kabisa kwa kupigana vita na mabeberu-maruhani wasiokuwepo ktk uhalisia na nchi kupoteza fursa kibao .
 
ni hatua nzuri sana ila ushauri wangu kwa first gentleman awe karibu sana na mhe rais maana ndugu yetu uhuru ni moto wa kuotea mbali ,nina wasiwasi kwamba katuma mrembo Dk Amin Mohamed wakati hata sio waziri wa mambo ya nje .
 
Kwani October 28, Kwenye kikaratasi cha kura kulikuwa na picha ya Magufuli peke yake au Magufuli na Samia?
Ila msitambe sana,kwa kuwa Taifa lina brake zake,na ninyi mafisadi msisahau kwamba Samia hajateuliwa na wananchi na Chama,kwa hivyo si chaguo la Watanzania.
i
 
Mkuu naona sasa hivi na nyie mmeungana na mataga kusifu!

Safi sana tuliwaambia hii ndio ccm, hata uichukie vipi utaipenda tu ipo siku.

Ona sasa kiko wapi?
Hatujaungana na mataga kusifu. Tunampongeza mama yetu Kwa kukaribisha Nuru Tanzania na tunamshukuru Mungu kwa kumuondoa fedhuli magufuli
 
Hatujaungana na mataga kusifu. Tunampongeza mama yetu Kwa kukaribisha Nuru Tanzania na tunamshukuru Mungu kwa kumuondoa fedhuli magufuli
Mkuu, ndio nilichokuwa nasema.

Sasa hivi tanzania mambo safi! Matatizo yote kaondoka nayo Magufuli maana ndio alikuwa tatizo, na tutegemee sasa tanzania kuwa kama ulaya, na hata Lisu na Lema warudi maana mfumo mpya wa uongozi umeingia.

Na hata kule muhambwe chadema waende kushiriki uchaguzi maana sasa hata tume ile Mbovu kaondoka nayo Magufuli sasa hivi ipo huru kabisa.

Yani kifupi sasa tuko upya
 
Magufuli kaondolewa na Mungu Ila masalia yake mabovu bado mpo. Taratibu Mungu atawaondoa mmoja baada ya mwingine
 
Samia vaa barakoa. Utakuwa historia muda sio mrefu. Jifunze kwa wenzio waliokufa kwa Corona.

61years na mwili huo ikikupiga huamki.

Ni ushauri tu!
 
Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.

Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.

Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.

Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.

Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.

Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
viongozi wetu wanatawaliwa na rushwa....kenya uadirifu ndio ngao yao,...wao kutokana na umasikini ulikithiri unao waandama wapo teyari kuchungulia fursa yoyote na kuiendea hiyo fursa bila kujali ugumu wa fursa yenyewe...watanzania tunachoweza ni umbea tu mitandaoni...na si kujitoa muhanga kwaajili ya taifa
 
Magufuli kaondolewa na Mungu Ila masalia yake mabovu bado mpo. Taratibu Mungu atawaondoa mmoja baada ya mwingine
Mkuu, sasa hivi kila kitu mwemwere, yani sasa hivi tutakuwa kama ulaya!

Si kikwazo kimeondoka?
 
Hilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.
What is a civilized world and what is civilization. Mkuu hivi seriously huoni kwamba hizo ni concepts zenye nia ya enslavement and indoctrination.Come on,zinduka mkuu.That is soft power.
 
Back
Top Bottom