Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Mabeberu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo. Few of you ni beneficiaries in deferent ways kama wizi, mikataba ya kihuni ,ku collapse mifumo, dealings kupitia vyama ngos nkHilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.
Mkuu intelejensia yetu ya kiuchumi ni hafifu mno ndio maana wanatupiga bao yao iko juu na ndio maana wanatuzidi kiuchumi,sisi intelejensia yetu ipo imara kulinda dola na chama twawala,na kuwachunga raia na chadema wanamsemaje mkulu hapo ndipo tulipo feli.Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Rais Uhuru Kenyatta anaijua Tanzania,amekuwa akija Tanzania kabla ya kuwa Waziri,alikuwa akija kufanya starehe Dar!!,anao marafiki na Biashara hapa Tanzania.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atakutana na mjumbe maalum (Special envoy)wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta leo katika ikulu Dar Es Salaam.
Uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania ni moja Kati ya masuala yanayotarajiwa kupewa kipaumbele ikizingatiwa kuwa urafiki wa nchi hizi mbili 'ulivurugika' Sana katika kipindi cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Ikumbukwe siku zote Rais Kenyatta amesisitiza kuwa Tanzania ndiyo taifa muhimu zaidi kwake na halioni kama mshindani bali kama mshirika wa kimkakati(Strategic partner).
Ile ilisha tolewa ufafanuzi na Prof mkumbo Juzi alikuwa Namanga Border na waziri wa biashara wa kenya na serikal ya kenya walisema lile tangazo halikutolewa na serikal ya kenya, na wao kenya walichukua sample ya mahindi ya Tz wakayapima wakayakuta safiiiiiiiItakuwa kuweka sawa ile issue ya mahindi yetu na sumu kuvu.
Very primitive.Hilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.
Sasa JPM yuko wapi ?!
Odhis *
Hata akipewa vyeo mia, tuwe wakweli hapa Gerson Msigwa knows his stuff/trade like back of his hand - Gerson ni kama maji anaweza ku-fit kwenye vessel/container yoyote bila matatizo-I like the way he conducts himself, anatia hamasa na bashasha sana pale Ikulu wakati wa kuapishwa viongozi au ugeni kutoka nje ya Nchi - he goes " Ikikupendeza Mh.Rais..."Huyu Gerson Msigwa ana vyeo vingapi?
Kwani kufa kwa Corona ni aibu au haramu. ?!.He went to join his MAKER, kwani tatizo liko wapi? Tatizo lenu mnafikiri Watanzania wote walio fariki, kifo chao kilitokana na ugongwa wa CORONA!!
Hata mimi logic aliyo tumia Rais Kenyatta kumtuma mwana mama mrembo mwenye asili ya Kisomali mbaye si waziri wa mambo ya nje kuja kumletea ujumbe mama SAMIA unatia shaka sana,kama nakumbuka vizuri mama huyo aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje wa Serikali ya Kenya au permanent balozi wa Kenya katika umoja wa Mataifa.ni hatua nzuri sana ila ushauri wangu kwa first gentleman awe karibu sana na mhe rais maana ndugu yetu uhuru ni moto wa kuotea mbali ,nina wasiwasi kwamba katuma mrembo Dk Amin Mohamed wakati hata sio waziri wa mambo ya nje .
Tell you what? Tutakesha hapa tukibishana na vitu ambavyo ni so obvious - wewe unataka kulazimisha Duniani ichukulie kwamba JPM alipoteza maisha kutokana na ugonjwa wa CORONA!!Kwani kufa kwa Corona ni aibu au haramu. ?!.
Unaikejeli corona wakati hujui nguvu zake !!
Odhis *
Mtani wangu mhaya. Nimekuuliza swali dogo na fupi. Kwani kuugua Corona ni aibu ?!. Naona mengine unaongeza wewe . Corona si kaswende eti.Tell you what? Tutakesha hapa tukibishana na vitu ambavyo ni so obvious - wewe unataka kulazimisha Duniani ichukulie kwamba JPM alipoteza maisha kutokana na ugonjwa wa CORONA!!
Nani ambaye hajui kwamba JPM alikuwa na a very serious heart condition tangu ujana wake,kafanyiwa surgery akiwa bado mwanafunzi Chuo Kikuu when he was still in his mid twenties! Ku-survive kwake kwa zaidi ya miaka arobaini na ushei akiwa na ugonjwa huo hatari it was a miracle/kudura za Mungu kusema ukweli - leo hii nyinyi mnamzulia ugonjwa wa corona, nani kawambieni unaweza kushikwa corona ghafla na ukafariki ndani ya wiki moja?
Wayahole Odhiambo,ntakupatia hata Nyadundo wa nguvu - njoo tule Kamongo na nyuka kwanza.Mtani wangu mhaya. Nimekuuliza swali dogo na fupi. Kwani kuugua Corona ni aibu ?!. Naona mengine unaongeza wewe . Corona si kaswende eti.
Na kwa wenye matatizo kama hayo ulioyataja ni sawa na kumsukuma mlevi. Mbona wameugua watu maarufu kabisa duniani na aibu wala vificho havikuwepo . eg. Trump, Boris , Raila rafiki yetu kabisa na hata professor Mwandosya nk nk . Tatizo ni nini Corona na serikali yetu ?!
Odhis *
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.Wayahole Odhiambo,ntakupatia hata Nyadundo wa nguvu - njoo tule Kamongo na nyuka kwanza.
Ni hivi: sijasema ugonjwa wa Corona ni aibu - kinacho nishangaza mimi kwa nini tunakazania kwamba JPM kutokana na ugonjwa wa corona na si vinginevyo!!
Nilimuona kwenye ziara yake ya mwisho hapa Dar, alionekana mzima wa afya, sikuona anapiga chafya au vihashiria vyovyote vya ugonjwa wa corona - hivi inaingia akilini kwamba covid inaweza kumvaa binadamu kwa ghafla na akafa within a week - come on! Ni rahisi mtu kufa haraka moyo wake ukisimamisha - utaalamu huo hupo sana, lakini corona does not kill suddenly/instantly au mtani una maoni gani ya ziada ya Ku-convince Dunia ikubaliane nawe otherwise, 'am just being curious?
You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressedAhahahaaaa. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.
Hebu angalia picha wakati JPM anamuapisha Balozi Mahiga. Wale watu wanne waliokuepo kwenye ile meza wote hawapo ndani ya hii miezi mitano !!. Wote wakiwa na ulinzi mkali, uangalizi wa afya 24/7/56. Kosa letu ni kuishusha Corona thamani wakati siyo.
Pili kwa uongo uliokuepo kwa wasaidizi wa mwendazake. Bora hata kumuamini Kigogo . Wasaidizi wamesimama kwenye mwimbari na kutuambia Mzee yuko fit anachapa kazi ikulu , huku akijua yuko ICU ?!
Mwisho angalia Mama yuko Kampala. Anafuata masharti ya covid. Kwanini hapa tunachkulia easy !!
Odhis *
You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je, siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressed kwa weledi wake bila shaka US Administration itaanza tena kuichukulia Tanzania seriously - first impression counts a lot.Ahahahaaaa. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.
Hebu angalia picha wakati JPM anamuapisha Balozi Mahiga. Wale watu wanne waliokuepo kwenye ile meza wote hawapo ndani ya hii miezi mitano !!. Wote wakiwa na ulinzi mkali, uangalizi wa afya 24/7/56. Kosa letu ni kuishusha Corona thamani wakati siyo.
Pili kwa uongo uliokuepo kwa wasaidizi wa mwendazake. Bora hata kumuamini Kigogo . Wasaidizi wamesimama kwenye mwimbari na kutuambia Mzee yuko fit anachapa kazi ikulu , huku akijua yuko ICU ?!
Mwisho angalia Mama yuko Kampala. Anafuata masharti ya covid. Kwanini hapa tunachkulia easy !!
Odhis *
Kwani kuna ubaya?Samia ameamua kurudisha makao makuu ya serikali Dar? Maana siku za karibuni shughuli nyingi za Ikulu zinafanyikia Dar badala ya Dom.