IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

Hilo neno beberu linatumiwa na watu primitive. Katika civilized world hakuna beberu wala jike.
Mabeberu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo. Few of you ni beneficiaries in deferent ways kama wizi, mikataba ya kihuni ,ku collapse mifumo, dealings kupitia vyama ngos nk
 
Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.

Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.

Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.

Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.

Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.

Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Mkuu intelejensia yetu ya kiuchumi ni hafifu mno ndio maana wanatupiga bao yao iko juu na ndio maana wanatuzidi kiuchumi,sisi intelejensia yetu ipo imara kulinda dola na chama twawala,na kuwachunga raia na chadema wanamsemaje mkulu hapo ndipo tulipo feli.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atakutana na mjumbe maalum (Special envoy)wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta leo katika ikulu Dar Es Salaam.

Uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania ni moja Kati ya masuala yanayotarajiwa kupewa kipaumbele ikizingatiwa kuwa urafiki wa nchi hizi mbili 'ulivurugika' Sana katika kipindi cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.

Ikumbukwe siku zote Rais Kenyatta amesisitiza kuwa Tanzania ndiyo taifa muhimu zaidi kwake na halioni kama mshindani bali kama mshirika wa kimkakati(Strategic partner).
Rais Uhuru Kenyatta anaijua Tanzania,amekuwa akija Tanzania kabla ya kuwa Waziri,alikuwa akija kufanya starehe Dar!!,anao marafiki na Biashara hapa Tanzania.
Tanzania ni nchi muhimu,ni kwa vile viongozi wengi wa Tanzania hawana mitazamo ya kibiashara,wanakosa ubunifu.
Sidhani kama viongozi Tanzania wanajua; 1
1.umuhimu wa kutafuta masoko nje ya nchi.
2.Hakuna kiongozi aliye na biadhara nje ya nchi.
3.Hakuna kiongozi anayeamini kuwa nchi zinazotuzungika ni "FURSA"
4.Hakuna kiongozi anayefikiria tukijenga na kuwa na bandari nyingi ni "Fursa".
5.Hakuna kiongozi anayeaamini KILWA inaweza kuwa na bandari na tukahufumia Zambia,Malawi na DRC(upande wa Lubumbashi).
6.Hakuna kiongozi anayeamini au kufikiria MTWARA inaweza kuwa na Bandari kubwa itakayo hudumia Msumbiji,Zambia,Malawi na DRC.
7.Sijui kama Viongozi wa juu wanafikiria kueweka vivutio ili wawekezaji waende mikoa inayopakana na nchi jirani:
8.Mtwara inaweza kuwa na viwanda vyenye bidhaa za kuuza Msimbiji,Malawi,Zambia na DRC.
9.Kigoma inaweza kuwa na Viwanda vya výenye bidhaa za kuhudumia Maziwa Makuu!!!
10.Rais kwenye ziara asiwasahau Waziri wa Uwekezaji,Biashara na Viwanda.!
 
Itakuwa kuweka sawa ile issue ya mahindi yetu na sumu kuvu.
Ile ilisha tolewa ufafanuzi na Prof mkumbo Juzi alikuwa Namanga Border na waziri wa biashara wa kenya na serikal ya kenya walisema lile tangazo halikutolewa na serikal ya kenya, na wao kenya walichukua sample ya mahindi ya Tz wakayapima wakayakuta safiiiiiii

Limeisha ilo
 
Huyo mjumbe wa Rais Kenyatta alienda kavaa barakoa halafu akaishia kuivua?

Halafu sidhani kama huyo Samia ana nia ya kweli ya kupambana na Corona....
 
Naona jamaa wanataka kujenga palipo bomoka
 
Huyu Gerson Msigwa ana vyeo vingapi?
Hata akipewa vyeo mia, tuwe wakweli hapa Gerson Msigwa knows his stuff/trade like back of his hand - Gerson ni kama maji anaweza ku-fit kwenye vessel/container yoyote bila matatizo-I like the way he conducts himself, anatia hamasa na bashasha sana pale Ikulu wakati wa kuapishwa viongozi au ugeni kutoka nje ya Nchi - he goes " Ikikupendeza Mh.Rais..."
 
He went to join his MAKER, kwani tatizo liko wapi? Tatizo lenu mnafikiri Watanzania wote walio fariki, kifo chao kilitokana na ugongwa wa CORONA!!
Kwani kufa kwa Corona ni aibu au haramu. ?!.

Unaikejeli corona wakati hujui nguvu zake !!

Odhis *
 
ni hatua nzuri sana ila ushauri wangu kwa first gentleman awe karibu sana na mhe rais maana ndugu yetu uhuru ni moto wa kuotea mbali ,nina wasiwasi kwamba katuma mrembo Dk Amin Mohamed wakati hata sio waziri wa mambo ya nje .
Hata mimi logic aliyo tumia Rais Kenyatta kumtuma mwana mama mrembo mwenye asili ya Kisomali mbaye si waziri wa mambo ya nje kuja kumletea ujumbe mama SAMIA unatia shaka sana,kama nakumbuka vizuri mama huyo aliwahi kuwa Waziri wa mambo ya nje wa Serikali ya Kenya au permanent balozi wa Kenya katika umoja wa Mataifa.

Sina nia ya kuwasema vibaya jirani zetu cha muhimu tuwe wangalifu/makini nao - zama hizi zenye mbinu nyingi za kisayansi za kufanya mambo ya ndio sivyo latently - mama Samia hakuwa na ulazima wa kupokea moja kwa moja bahasha yenye ujumbe kutoka kwa mwenzake - bahasha hiyo ingekuwa intercepted kwa kupokelewa na watu wa usalama kistaarabu bila ya ku raise eyeblows - oh yes, usalama first - kama Kenyatta angekuwa na pressing problem kwa nini hakumpigia simu mama Samia badala ya kumtumia ujumbe kwenye bahasha - who knows bahasha hiyo inaweza kuwa laced na vitu gani hatarishi?

I am not being paranoid ukweli wa mambo ni kwamba watu hawa si wa kuamini by 100%.
 
JPM kutuchelewesha sana tangu 2016 kamati hawajawai kukutana. Piga kazi mama
 
Kwani kufa kwa Corona ni aibu au haramu. ?!.

Unaikejeli corona wakati hujui nguvu zake !!

Odhis *
Tell you what? Tutakesha hapa tukibishana na vitu ambavyo ni so obvious - wewe unataka kulazimisha Duniani ichukulie kwamba JPM alipoteza maisha kutokana na ugonjwa wa CORONA!!

Nani ambaye hajui kwamba JPM alikuwa na a very serious heart condition tangu ujana wake,kafanyiwa surgery akiwa bado mwanafunzi Chuo Kikuu when he was still in his mid twenties! Ku-survive kwake kwa zaidi ya miaka arobaini na ushei akiwa na ugonjwa huo hatari it was a miracle/kudura za Mungu kusema ukweli - leo hii nyinyi mnamzulia ugonjwa wa corona, nani kawambieni unaweza kushikwa corona ghafla na ukafariki ndani ya wiki moja?
 
Mtani wangu mhaya. Nimekuuliza swali dogo na fupi. Kwani kuugua Corona ni aibu ?!. Naona mengine unaongeza wewe . Corona si kaswende eti.

Na kwa wenye matatizo kama hayo ulioyataja ni sawa na kumsukuma mlevi. Mbona wameugua watu maarufu kabisa duniani na aibu wala vificho havikuwepo . eg. Trump, Boris , Raila rafiki yetu kabisa na hata professor Mwandosya nk nk . Tatizo ni nini Corona na serikali yetu ?!

Wayahole Odhiambo,ntakupatia hata Nyadundo wa nguvu - njoo tule Kamongo na nyuka kwanza.

Ni hivi: sijasema ugonjwa wa Corona ni aibu - kinacho nishangaza mimi kwa nini mna stick to your guns kwamba JPM katutoka kutokana na ugonjwa wa corona na si vinginevyo!!

Nilimuona JPM kwenye ziara yake ya mwisho hapa Dar, alionekana mzima wa afya, sikuona anapiga chafya au vihashiria vyovyote vya ugonjwa wa corona - hivi inaingia akilini kwamba covid inaweza kumvaa binadamu kwa ghafla na akafa within a week - come on!

Actually ni rahisi mtu kufa haraka moyo wake ukisimamishwa - utaalamu huo hupo sana, lakini corona does not kill suddenly/instantly au mtani una maoni gani ya ziada ya Ku-convince Dunia ikubaliane nawe otherwise, 'am just being curious?
 
Kenya ina Watu Smart sasa sijui yule Propessa Mjaluo walimtoa wapi?
 
Wayahole Odhiambo,ntakupatia hata Nyadundo wa nguvu - njoo tule Kamongo na nyuka kwanza.

Ni hivi: sijasema ugonjwa wa Corona ni aibu - kinacho nishangaza mimi kwa nini tunakazania kwamba JPM kutokana na ugonjwa wa corona na si vinginevyo!!

Nilimuona kwenye ziara yake ya mwisho hapa Dar, alionekana mzima wa afya, sikuona anapiga chafya au vihashiria vyovyote vya ugonjwa wa corona - hivi inaingia akilini kwamba covid inaweza kumvaa binadamu kwa ghafla na akafa within a week - come on! Ni rahisi mtu kufa haraka moyo wake ukisimamisha - utaalamu huo hupo sana, lakini corona does not kill suddenly/instantly au mtani una maoni gani ya ziada ya Ku-convince Dunia ikubaliane nawe otherwise, 'am just being curious?
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.

Hebu angalia picha wakati JPM anamuapisha Balozi Mahiga. Wale watu wanne waliokuepo kwenye ile meza wote hawapo ndani ya hii miezi mitano !!. Wote wakiwa na ulinzi mkali, uangalizi wa afya 24/7/56. Kosa letu ni kuishusha Corona thamani wakati siyo.

Pili kwa uongo uliokuepo kwa wasaidizi wa mwendazake. Bora hata kumuamini Kigogo . Wasaidizi wamesimama kwenye mwimbari na kutuambia Mzee yuko fit anachapa kazi ikulu , huku akijua yuko ICU ?!

Mwisho angalia Mama yuko Kampala. Anafuata masharti ya covid. Kwanini hapa tunachkulia easy !!

Odhis *
 
Ahahahaaaa
emoji16.png
emoji23.png
emoji1787.png
. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.

You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressed
 
Ahahahaaaa
emoji16.png
emoji23.png
emoji1787.png
. Ndiyo maana mlishindwa kusafiri nje, lugha za zinawashinda.
Hebu angalia picha wakati JPM anamuapisha Balozi Mahiga. Wale watu wanne waliokuepo kwenye ile meza wote hawapo ndani ya hii miezi mitano !!. Wote wakiwa na ulinzi mkali, uangalizi wa afya 24/7/56. Kosa letu ni kuishusha Corona thamani wakati siyo.
Pili kwa uongo uliokuepo kwa wasaidizi wa mwendazake. Bora hata kumuamini Kigogo . Wasaidizi wamesimama kwenye mwimbari na kutuambia Mzee yuko fit anachapa kazi ikulu , huku akijua yuko ICU ?!
Mwisho angalia Mama yuko Kampala. Anafuata masharti ya covid. Kwanini hapa tunachkulia easy !!
Odhis *
You win Omela - lakini umemsikia mama Samia alivyo kuwa anatiririka na a very refined Queen's English pale Ikulu ya Entebbe,je, siku za usoni mama Samia akukutana na Rais Biden na makamu wake Bi Harris kwa mazungumzo watakuwa overly impressed kwa weledi wake bila shaka US Administration itaanza tena kuichukulia Tanzania seriously - first impression counts a lot.
 
Back
Top Bottom