IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

Kaka Ukiwa na Akili za Kichadema lazima Uwe Mwendawazimu. Wao kutwa kucha kuombea Viongozi wetu Mabayatu.

Sijui hata wanashabikia Nini! Hawa viumbe!
na mashabiki wao hawana akili yaani mtu kama lissu mbowe pambalu anaweza kukushawishi kuwa wakiingia madarakani watawaajiri watu wote waliotoka vyuoni? watatoa chakula bure kila mtu aache kulima? ni ujinga ujinga tu ndiyo maana yanaishiaga kutiwa ndani kwa kuleta fujo halafu yaanza kulalamika hovyo
 
Just to clear the air. Spika tulikuanae kwenye kikao cha kamati ya ushauri wa kodi jioni ya tar 25 (Juzi). Masaa machache kabla ya hapo tulikua kwenye kikao cha wadau wa elimu.

Kwakifupi yuko vizuri tuu..

NB: Mimi sio mchama wala sio muumini wa politics.
Ila sioni sababu yakuleta taharuki zisizo na sababu.
 
Sio speaker peke yake...
Bwana DIwani Athumani sijamuona na kwenye kumuaga Kijazi sikumuona pia
Bwana Mkuchika, Waziri Ofisi ya Rais naye sijamuona pia na kwa Kijazi sikumuona pia.
Diwani pia na mashaka maana kwenye hafla zote za kitaifa amekuwa akiwakilishwa na makamu DGIS kuna shida mahali kwa bwana huyu wa Usalama wa taifa.
 
Ni sheria mpya ama? kuna several former CSs hawakuwahi kuwa mabalozi - either kuwa ambassadors nje ya Nchi au huu "ubalozi" kama wa Bashiru

Bashiru kapewa ubalozi kwanza ili awe mtumishi wa umma, moja ya sifa kuu za kustahili kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Nafikiri hata Sefue alipewa ubalozi, ndiyo maana baada ya 'kustaafu' u-CS alipangiwa kazi za kibalozi.

IMO.
 
Katibu kiongozi na barozi! Mimi nilifikiri mabarozi ni wale wa nyumba kumi na wale wanaowakilisha nchi. Naomba msaada tafadhali kujua ni barozi kwa vipi? Na hicho cheo cha ukatibu kiongozi ili kitimie lazima uwe barozi? Naomba msaada kwa wanaojua tafadhali.

Sio barozi mkuu, ni Balozi.... barozi kikwetu ni wachawi.
 
Just to clear the air. Spika tulikuanae kwenye kikao cha kamati ya ushauri wa kodi jioni ya tar 25 (Juzi). Masaa machache kabla ya hapo tulikua kwenye kikao cha wadau wa elimu...
Mimi naamini kuwa baadhi ya watu, wakiwemo viongozi, hawajumuiki kwenye mikusanyiko, kama sehemu ya tahadhari dhidi ya Covid 19. Siyo lazima wawe wanaumwa.
 
Just to clear the air. Spika tulikuanae kwenye kikao cha kamati ya ushauri wa kodi jioni ya tar 25 (Juzi). Masaa machache kabla ya hapo tulikua kwenye kikao cha wadau wa elimu...

Kwa hiyo anahudhuria vikao vyenye posho tu
 
Pale mataga yanapofarijiana
na mashabiki wao hawana akili yaani mtu kama lissu mbowe pambalu anaweza kukushawishi kuwa wakiingia madarakani watawaajiri watu wote waliotoka vyuoni? watatoa chakula bure kila mtu aache kulima? ni ujinga ujinga tu ndiyo maana yanaishiaga k
utiwa ndani kwa kuleta fujo halafu yaanza kulalamika hovyo
 
Kwani yeye anakagua wapi? Acha kutisha watu. Labda kama atafanya siasa kuweka watu wake anaowataka..
Bila kuwa na mifumo imara
MIFUMO IMARA.
Anyway nimesikia hili neno mara nyingi sana.. MIFUMO IMARA.
Hivi huwa tuna maanisha nini!?
 
Diwani pia na mashaka maana kwenye hafla zote za kitaifa amekuwa akiwakilishwa na makamu DGIS kuna shida mahali kwa bwana huyu wa Usalama wa taifa.
Nimeshangaa maana wakuu wa vyombo wamekuwa kama mikoba ya mzee... kila alipo na wao wapo. Ya Kijazi na Bashiru ndio kubwa zaidi, maana ni mabosi zake ofisi ya Rais
 
mbona mbowe haonekani misiba yote au yeye ndiyo haendagi misibani?anatatizo huyo
1614425437293.png
 
bwashee acha kukariri, Bashiru kaupata lini huo ubalozi?!.
Kateuliwa vyote kwa pamoja.kwani wewe unaishi wapi hata usisikie au usisome ukaelewa,kwamba aliteuliwa kuwa balozi na katibu mkuu kiongozi kwa wakat mmoja.

Na hata viapo navyo hujasikia
 
Back
Top Bottom