IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

bwashee acha kukariri, Bashiru kaupata lini huo ubalozi?!.
Karibu mzee baba, Bashiru ni Balozi hivi sasa. Anatambulika rasmin kuwa ni Dr. Balozi Bashiru Ali ..... Katibu Mkuu Kiongozi
 
Ukianza kujitegemea itakuwa rahisi sana kuelewe kuwa na mifumo imara. Ila kwa sasa si dhani kama utapata uelewa.

Kwenye mfumo imara kama ni mwizi/mla rushwa/fisadi unafyekelewa mbali.

Kama ni mvivu/mzembe unaacha kazi mwenyewe ama kuachishwa binginevyo ubadirike.
Bila kuwa na mifumo imara
MIFUMO IMARA.
Anyway nimesikia hili neno mara nyingi sana.. MIFUMO IMARA.
Hivi huwa tuna maanisha nini!?
 
Huyu jamaa nadhani yupo katika Top 3 ya watu waliolia na kuendelea kulia kifo cha Magufuli!
 
Kati ya teuzi za kipumbavu kuwahi kutokea kwenye nchi hii ilikua hii hapa. Ila ya Mungu yalivyo mengi yakawa mengi kwelikweli. Yaani unakula vyeo viwili kwa mpigo na unastaafu kabla ya kuvifangia kazi yoyote
 
Back
Top Bottom