na mashabiki wao hawana akili yaani mtu kama lissu mbowe pambalu anaweza kukushawishi kuwa wakiingia madarakani watawaajiri watu wote waliotoka vyuoni? watatoa chakula bure kila mtu aache kulima? ni ujinga ujinga tu ndiyo maana yanaishiaga kutiwa ndani kwa kuleta fujo halafu yaanza kulalamika hovyoKaka Ukiwa na Akili za Kichadema lazima Uwe Mwendawazimu. Wao kutwa kucha kuombea Viongozi wetu Mabayatu.
Sijui hata wanashabikia Nini! Hawa viumbe!
Usitulishe manenoKwani kuumwa kitu cha ajabu. You are hopelesa
Diwani pia na mashaka maana kwenye hafla zote za kitaifa amekuwa akiwakilishwa na makamu DGIS kuna shida mahali kwa bwana huyu wa Usalama wa taifa.Sio speaker peke yake...
Bwana DIwani Athumani sijamuona na kwenye kumuaga Kijazi sikumuona pia
Bwana Mkuchika, Waziri Ofisi ya Rais naye sijamuona pia na kwa Kijazi sikumuona pia.
Ni sheria mpya ama? kuna several former CSs hawakuwahi kuwa mabalozi - either kuwa ambassadors nje ya Nchi au huu "ubalozi" kama wa Bashiru
Katibu kiongozi na barozi! Mimi nilifikiri mabarozi ni wale wa nyumba kumi na wale wanaowakilisha nchi. Naomba msaada tafadhali kujua ni barozi kwa vipi? Na hicho cheo cha ukatibu kiongozi ili kitimie lazima uwe barozi? Naomba msaada kwa wanaojua tafadhali.
Mimi naamini kuwa baadhi ya watu, wakiwemo viongozi, hawajumuiki kwenye mikusanyiko, kama sehemu ya tahadhari dhidi ya Covid 19. Siyo lazima wawe wanaumwa.Just to clear the air. Spika tulikuanae kwenye kikao cha kamati ya ushauri wa kodi jioni ya tar 25 (Juzi). Masaa machache kabla ya hapo tulikua kwenye kikao cha wadau wa elimu...
Just to clear the air. Spika tulikuanae kwenye kikao cha kamati ya ushauri wa kodi jioni ya tar 25 (Juzi). Masaa machache kabla ya hapo tulikua kwenye kikao cha wadau wa elimu...
Mkuu huku hatuna umeme,kila ikifika asubuhi unakatwa hadi saa tano usiku ndio wanaurudishaRais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally...
Hiyo ni video yake na nguo za kijani, yeye binafsi na kaunda suti nyeusi au mavazi ya kawaida hana tatizo na uteuzi wa cheo chochote ndani ya chama au serikalini.Kwani nani kaapishwa? Si alikataa mwenyewe cheo kingine au huyu ni pacha wake?
View attachment 1713017
We ngedere wa kinesi upoKwani kuumwa kitu cha ajabu. You are hopelesa
na mashabiki wao hawana akili yaani mtu kama lissu mbowe pambalu anaweza kukushawishi kuwa wakiingia madarakani watawaajiri watu wote waliotoka vyuoni? watatoa chakula bure kila mtu aache kulima? ni ujinga ujinga tu ndiyo maana yanaishiaga k
utiwa ndani kwa kuleta fujo halafu yaanza kulalamika hovyo
Akifa lisu anakuwa rais?
Bila kuwa na mifumo imaraKwani yeye anakagua wapi? Acha kutisha watu. Labda kama atafanya siasa kuweka watu wake anaowataka..
Nimeshangaa maana wakuu wa vyombo wamekuwa kama mikoba ya mzee... kila alipo na wao wapo. Ya Kijazi na Bashiru ndio kubwa zaidi, maana ni mabosi zake ofisi ya RaisDiwani pia na mashaka maana kwenye hafla zote za kitaifa amekuwa akiwakilishwa na makamu DGIS kuna shida mahali kwa bwana huyu wa Usalama wa taifa.
This may be very true....Hapo kwa Eagle Wings nasikia ndio imetia kambi haswa wengi wapo kwenye Mihan Gas
mbona mbowe haonekani misiba yote au yeye ndiyo haendagi misibani?anatatizo huyo
Ombeni alikuwa Balozi kabla ya kuwa CS.Nafikiri hata Sefue alipewa ubalozi, ndiyo maana baada ya 'kustaafu' u-CS alipangiwa kazi za kibalozi.
Kateuliwa vyote kwa pamoja.kwani wewe unaishi wapi hata usisikie au usisome ukaelewa,kwamba aliteuliwa kuwa balozi na katibu mkuu kiongozi kwa wakat mmoja.bwashee acha kukariri, Bashiru kaupata lini huo ubalozi?!.