Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Amesoma alama za nyakati japo bado kuna vitu anatakiwa aviweke wazi zaidi kama walivyoagizwa
 
ATCL hasara tupu kwa miaka mitano mfululizo. Hivi CAG kwanini hakuliona na kulisema hilo live bila chenga kwenye report ya mwaka jana na juzi? #FearingMagufuli
ATCL hasara tupu kwa miaka mitano mfululizo. Hivi CAG kwanini hakuliona na kulisema hilo live bila chenga kwenye report ya mwaka jana na juzi? #FearingMagufuli
Kwani hukuona CAG, Profesa Assad akifungashwa virago na Ndugai na Jiwe wake?
 
Mimi amenifanya nimfollow Tena milard Ayo.

Kuna kipindi hasa baada ya uchaguzi 2020 milard alianza kupost wabunge na mawaziri et "m..fulani kaanza kazi rasmi"
So what??

Nikaona ufara nikam-unfollow maana nilikuwa najawa na hasira tu
 
Mara nyingi wafanyaki njaa (mbwa koko) ndio wanaomwangusha boss Mama awe makini # yajayo yanafurahisha
 
Ziko nakala mbili halisi na bandia inategemea anapewa nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…