yan binadam anadiriki kudai atamfufua binadam mwenzie na bado huyo mtu anapewa hadhi ya kuaminiwa kwenye jamii iliyoelimika! kweli! mi mkristo lakin naona au shida zetu zinawapa mwanya matapeli au bas biblia inatafsiriwa kulingana na mahitaji ya mtafsiri.Huku kwetu wamejaa matapeli kina gwajima
Kiasi kama hiki ndiyo kilijenga uwanja wa Mkapa mkuuBillioni 60 ni pesa mingi sana.
EditedCAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeeditiwa usiku kucha.. printa ziliwaka moto... Kuongeza zile vitu jiwe alikua hapendi kusikia
Mwanzo mpya wa uwazi.
Ndugu mbona tunao wakristo wengi wasafi tena sana. Hata Mabeyo ni Mkiristo,,Nyerere, kambona, warioba nk...Mama Samia mweshimiwa Rais ni mwislamu safi
Wewe ni Mganga wa Ramli, hebu piga ramli zako utuambie aiseeCAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Aiseee...🤣🤣🤣Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida
Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
Akili ndogo hiiMnaoisema ATCL kula hasara kubwa hebu chungulieni makampuni kongwe ya ndege ya ukanda wa EA alafu mrudi hapa jukwaani.