Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Huku kwetu wamejaa matapeli kina gwajima
yan binadam anadiriki kudai atamfufua binadam mwenzie na bado huyo mtu anapewa hadhi ya kuaminiwa kwenye jamii iliyoelimika! kweli! mi mkristo lakin naona au shida zetu zinawapa mwanya matapeli au bas biblia inatafsiriwa kulingana na mahitaji ya mtafsiri.
 
Ufisadi wa ma billioni bado unafanyika katika mashirika ya umma wakati baadhi ya watumishi wa umma wanadai haki zao za malimbikizo ya mishahara, dah!! Kweli watu wabaya sana.
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Edited
 
Ame edit Jiwe alikuwa hataki kusikia mapungufu yake au ya serikali yake kabisa .
 
Mnaoisema ATCL kula hasara kubwa hebu chungulieni makampuni kongwe ya ndege ya ukanda wa EA alafu mrudi hapa jukwaani.
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Wewe ni Mganga wa Ramli, hebu piga ramli zako utuambie aisee
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida


Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
Aiseee...🤣🤣🤣
Labda umekaa sana nje ya nchi , hebu rudi utueleze ....wanyonge........
Kwahiyo Tenga langu la nyanya mwaka jana nilipata faida ya 10, ila mwaka huu nimepata faida ya 4
Kwa kuwa 10 toa 4 ni 6 , basi kwahiyo mwaka huu nimepata faida ya 4 na siyo hasara ya 6
Mawazo chanya😂😂😂
 
Na bado kuna kandarasi zikiguswa kwa ukweeli na uwazi tutabaki ,,😳
 
Hivi Report ya CAG, ilimalizika kabla au baada ya kifo cha JPM? Je Waziri mkuu alienda na kuunda kamati bandarini bila JPM kujua. Je watu wamesahau kuwa CAG aliteuliwa na JPM na watu wakalalamika sana kuwa hataki umakini.

Je kusimamishwa Mkurugenzi ndo yeye kaiba? Mama Rais Hongera ila Acha kusikiliza wanafiki hawa wanaojifanya kukupigia makofi as if Kuna kitu Kipya. Niwahakikishie Kwa Report Hii, JPM Leo kungewaka moto.

Mnamchulia poa sana hayati. Fuatilieni historia na kumbukeni kuwa wezi wengi wapo humu na hudanganya. Uwezo aliongozewa CAG kwa kupewa 25 p. Umemsadia.
 
Shirika la ndege limeingizaje hasara ya pesa nyingi hivi ufafanuzi na nini kifanyike na je tulikosea wapi?
 
Mkuu, mbona heading ya thread haiendani na yaliyomo kwenye maelezo yako? Au watu wataunganisha dots na kusoma katikati ya mistari 🤔
 
Back
Top Bottom