Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Naona CAG ameanza kujing'atang'ata mapema kabisa[emoji3], Rais usimuangalie mtu usoni. Leo onesha makali yako.


Napendekeza ungeanza na CAG mwenyewe.
 
Naona CAG ameanza kujing'atang'ata mapema kabuisa[emoji3], Rais usimuangalie mtu usoni. Leo onesha makali yako.


Napendekeza ungeanza na CAG mwenyewe
sijui iyo report kapika uongo, maana anashikwa na kigugumizi,
 
ATCL nayo ikaguliwe hatuwezi kuingia hasara kisa "cheap popularity za kisiasa" wakati wananchi wanaumia kuhudumia shirika linalotia hasara ya mabilioni.....Midege ni hasara ,tuna uhaba wa wafanyakazi ni bora wafanyakazi wa ATCL wakasambazwa kwenye mashirika mengine ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…