Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama dsm ya zaman na sasaMama anatoa maagizo mazito halafu hafoki hatujazoeshwa hivyo.
Pascal yupo Tafuta uzi wa ."Uganda washangilia/walia machozi kuiona Atcl entebe ..kafufua huko..Pascal Mayalla anasemaje kwenye hii ripoti, sijamuona kapotelea wapi?
Pole comrade tupo pamoja, mama yetu hana shida, lugha na hulka yake inaweza isikuogopeshe ila "Urais" ushamvaa, atatumia mamlaka yake vizuriNi wazi hujawahi ona comments zangu humu na mlengo wangu, in the nutshell mie nilikua na niko na nitakua PRO JPM to the casket....
Ushaambiwa kama huna la kusema nyamaza.Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Hatujazoea Rais kutoa maagizo kwa kubembeleza hivi. Yani mpaka imenibidi kurudia kutazama hotuba za zamani za JPM ili kupata mzuka. Mama aongeze ukali la sivyo shamba linaenda kuwa nyumba ya manyani.Hahaha hata mimi nimecheka... Watanzania sijui wanataka nini
Bwahahahahahaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji86][emoji86][emoji86].Yani mitanzania ya mitandaoni ovyo sana aiseeeee.Aisee hata mimi leo namsikiliza rais bila kuogopa kusikia maneno kama unataka kupanuliwa kwa mbele au kwa nyuma
Dah hapo sasaTakukuru jishughulisheni na RUSHWA. Siyo ukusanyaji madeni. Hahahaha.
Mkuu ujasikia Mh rais kasema bot uchunguzwe pesa zilizotolewa toka january hadi leo?
Hatujazoea Rais kutoa maagizo kwa kubembeleza hivi. Yani mpaka imenibidi kurudia kutazama hotuba za zamani za JPM ili kupata mzuka. Mama aongeze ukali la sivyo shamba linaenda kuwa nyumba ya manyani.
Mnufaika siku zote anakuwa 'kipofu 'kwenye huu ubadhirifu.Pascal yupo Tafuta uzi wa ."Uganda washangilia/walia machozi kuiona Atcl entebe ..kafufua huko..
Ni kweli alikua anasema hivyo..neno lake LA mwisho hadharani lilikua "baki na mavi yako nyumbani"Bwahahahahahaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji86][emoji86][emoji86].Yani mitanzania ya mitandaoni ovyo sana aiseeeee.
Mshikaji wake Meko kapigwa chini pale bandariniHatujazoea Rais kutoa maagizo kwa kubembeleza hivi. Yani mpaka imenibidi kurudia kutazama hotuba za zamani za JPM ili kupata mzuka. Mama aongeze ukali la sivyo shamba linaenda kuwa nyumba ya manyani.
Hahaaaaaa, wanyonge na wao walizidi kuuliza vitu vya kijinga. Hadi choo unataka Rais akusaidie?Ni kweli alikua anasema hivyo..neno lake LA mwisho hadharani lilikua "baki na mavi yako nyumbani"
Nilikua na hamu leo Leo hii afyekelewe mbaliiiiiJafo muda SI mrefu atafyekwa