Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Minong'ongo mitaani ni kwamba Kuna kiasi kikubwa cha pesa kimechotwa ndani ya kipindi hicho na matumizi yake hayako bayana

Kwa agizo la Madam President, anataka kujiridhisha minong'ongo hiyo? Au anataka kupata uhalali wa kushughulika na waliohusika? Tusubiri muda, siku hazigandi
Ngoja nirudishe...
 
Kama anaifanyia kazi minong'ono walaaahi tutatoboaaaa
 
Linatafutwa jitu flani apa, tusubirie wakati utaongea tuliskia walichota 103b ingali meko akiwa ashaukata acha tusubirie report, CAG popote alipo apewe ulinzi tafadhal hii mijitu haiaminiki
 
Mh.Rais ameshtukia mchezo, hapo waziri wa fedha na wasaidizi wake wajiandae , wale waliopiga wakati Magu mgonjwa mambo yao yatakuwa wazi muda sio mrefu.Hii nchi majizi mengi Sana .
Hivi yule waziri kurudi kazini huku akiwa anahema hovyo na kukohoa kiasi kile ilikuwa ni uzalendo au kuwahi kukwapua mahela?
 
Minong'ongo mitaani ni kwamba Kuna kiasi kikubwa cha pesa kimechotwa ndani ya kipindi hicho na matumizi yake hayako bayana

Kwa agizo la Madam President, anataka kujiridhisha minong'ongo hiyo? Au anataka kupata uhalali wa kushughulika na waliohusika? Tusubiri muda, siku hazigandi
Ila kuwa ruhusu watuhumiwa kuendelea kuingia ofisini sio sawa.
Wata poteza ushahidi. PCCB na CAG wana takiwa wawazuie watuhumiwa kuingia ofisini kuanzia muda wa agizo la Mh. Rais
 
Paramalima kanani🤣🤣🤣 kala lolo lojolojo🤣🤣🤣🤣 naye niki alizid kusifia. Aya kaliwa insta watu n vicheko tu. Alafu kigogo nae kapigilia msumali🤣🤣🤣🤣
Hivi ni kweli Majalala alimla mke wa Niki au Kigogo alitaka kumuumiza tu kihisia? Maana nikimuona Prof Majalala na kale Kabinti yaani sioni sehemu gani walikutana.
 
Nani huyo [emoji23]? Daaah na kwa jinsi mabavyo nikki wa pili anapenda kumsifia mke wake kuwa ni msom mwenye akili, sijui alijisikiaje kama ni kweli[emoji3].
Paramilima huyo, route nyingi za kwenda ulaya mara ufaransa mara ...kumbe anamkula ntonto ya ntu fulani🤣🤣🤣🤣
Kuchapiwa ni sir ya ndani ila kwa niki imekuwa siri ya nje😆😆😆😆
 
Watu wa mikoani huwaga tunawaacha hivyo hivyo.
Mtu hata hajui mwaka upi babu Seya alifungwa na uliiwa utawala wa nani hawajui. Kila uchao Alifungwa na Kikwete. Watu wametoka bush na story zao.
 
Gusanisha..

Gusanisha, chanya kwa chanya..

Mama wee
Mama yetu ana majukumu mengi sana yakufanya eti huo muda wa kukimbizana wa atu eti wasiende lodge hana wao waende tu na mimba wakapeane,

Wanaweza zaa kichwa kingine kitakacho kuja kutawala hii nchi tena kwa mara nyingine tena [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mama yuko sahihi kabsaaa namuunga mkono[emoji122]
 
Back
Top Bottom