Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Wabongo bwana bado wanafukua tu makubur sasa nikudokeze tu kuna baadh ya mambo hata siasa kuingia sio kaz rahisi sanasana issie za pesa serikalin CAG hawezi kuprint fake report akampa raisi never sahau kuhusu ilo ni kwa sababu km atatunga report nzur na kuonesha mashirika yanapata faida lazima rais atachek kwenye account za benk ya ayo mashirika kuona km izo fedha zipo sasa uweke faida ya billion 60 acheke kwenye akaunti akute negative si ni kesi

Ukwel mchungu ni huu JPM anapenda fix na alikuwa anajia kuwa hizp ndege tumekopa pesa na zinaendeshwa kihasara ila pale bandarin mmmmh !!!! Ebu subir kidogo maana TPA maofisa wa serikal ni wrngi pale bila kuunga chain hupigi hata BOT bila kuunga chain hupigi siwez shangaa nikisikia jamaa nae alihusika kwenye upigaji ni jambo la mda tu
 
Niliacha kabisa kuandika , nikakata tamaa,lakini hotuba yako ya leo umeganga moyo wangu uliokuwa umeinama. Hongera mama Mungu akutangulie katika kutenda haki. Naamini utafanya vizuri na watu watakuunga mkono.
Tupo wengi kwa kweli
 
Unategemea shirika lililofufuka 2018 kutengeneza faida?

Hata fleet ya ATCL bado changa sana. Mpango wa ATCL ulikuwa ni kuanza kutengeneza faida 2022 baada ya kupata ndege zote zilizotarajiwa. Hali ya covid-19 huenda ikarudisha nyuma mipango hiyo.

Ngoja wakianza safari nyingi za kimataifa ndiyo tuwahukumu. ATCL ilikuwa mahututi huwezi kutegemea watengeneze faida ndani ya miaka miwili.
 
CAG hawezi kuprint fake report akampa raisi never sahau kuhusu ilo ni kwa sababu km atatunga report nzur na kuonesha mashirika yanapata faida lazima rais atachek kwenye account za benk ya ayo mashirika kuona km izo fedha zipo sasa uweke faida ya billion 60 acheke kwenye akaunti akute negative si ni kesi
Tuaanze na report za nyuma wakati akiwepo, je hazikusema shirika linapata faida huku ukweli likipata hasara?
 
Niliacha kabisa kuandika , nikakata tamaa,lakini hotuba yako ya leo umeganga moyo wangu uliokuwa umeinama. Hongera mama Mungu akutangulie katika kutenda haki. Naamini utafanya vizuri na watu watakuunga mkono.

Ili kuwa ni uoga ? JamiiForums ni jukwaa huru linajiendesha kwa vigezo na masharti rafiki kabisa kwa watumiaji na kuwalinda hivyo usiwe una "kata tamaa" kwani bila majadiliano mapana hapa jukwaani wananchi hatuna chombo cha kuongea na serikali moja kwa moja kwa kuwa Bunge ni la chama kimoja na hivyo lazima tuendelee kujadiliana kwa maslahi mapana ya nchi.
 
Haha nadhani chin ya meza
JamiiForums-163174107.jpg
 
Wewe acha kupaka Rangi Jiwe alikua muongo bwana kwa kupika data CAg Prof.Assad aliposema linapata hasara na kuibua 1.5trilion mkamtoa[emoji16][emoji16][emoji1]

Subiri marehemu mtamkataa soon
Ndugu kuna ripot mbili moja ndio yenyewe na ya pili ni kwa ajili ya vilaza mambo ya pesa ndugu yngu huwa hayapikiki
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
CAG kakesha usiku kucha akifanya editing, kwani hukumuona machoni alikuwa akisinzia sinzia?
 
Wewe acha kupaka Rangi Jiwe alikua muongo bwana kwa kupika data CAg Prof.Assad aliposema linapata hasara na kuibua 1.5trilion mkamtoa[emoji16][emoji16][emoji1]

Subiri marehemu mtamkataa soon
Ww upo pamoja na mm tatizo ujatulia sikatai ni kwel data zilipikwa lkn data halis jamaa alipewa nyuma ya pazia
 
Back
Top Bottom