Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Yaani tulivyo shuhudia Prof. Assad alivyo furumishwa unceremonously kutoka ofisini, akawa humiliated further na Spika wa Bunge, one could sense kulikuwa kumejengeka uadui mkubwa baina ya Spika Ndugai, baadhi ya wabunge dhidi ya Prof. Assad wa watu.

Kilicho mponza Prof. Assad ni kusema ukweli bila ya kumungunya maneno, ni hicho tu na wala hakuna kingine.

Rai yangu kwa Mh. Rais S.S. Hassan, tafadhali mrudishe fasta Mzalendo wa kweli Prof. Assad kwenye wadhifa wa CAG, Prof. Assad ni jasiri sana, anajali sana ethics za kazi yake, aogopi kusema ukweli lets what comes may, ali-train ma auditors kwa kiwango cha juu, hana makuu na ni mvumilivu sana.

Tunayasema haya kwa nia njema tu, tunakuwa wakweli hapa ni hivi: Prof. Assad ndiye atakusaidia sana kuwashukia kama mwewe wezi na wabadhirifu walio kubuhu Serikalini na kwenye mashirika ya UMMA - mama huna haja ya kumkumbusha CAG kwamba awe muwazi zaidi - hiyo ndio kazi yake i.e to call a spade a spade na sio kuletewa report ambayo sehemu nyingine haiko transparent ikiwa ni mbinu za kutaka kuwalinda waharifu kiaina - please recall Prof. Assad.
Ripoti ya bunge inasemaje? make kule walishajijengea kiota hawataki kuguswa
 
Oya mbona mmenuna?
Muda si mrefu kibwebwe kitakuanguka!
20210328_151856.jpg
20210328_151902.jpg
 
Jiwe alikuwa ni janga kubwa la Taifa. Ameiacha Nchi mahali pabaya sana kwa maovu yake mbali mbali na kushindwa kuiongoza Nchi. Mwenyezi Mungu Mkubwa 🙏🏾
Makando kando na matokeo ya kukurupuka ya Jiwe yanaanza kuonekana.
 
Ah wapi CAG si angeambiwa not to that extent😀! Mitano tena huo ndio Ukweriii wenyewe ndugu zangu !Tembeeni vifua mbele mabeberu wameshindwa
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.

Ni ukewa mdogo wa watu tu wana wanaojua walijua kabisa shirika lilikuwa linapata hasara. Hakuna shirika lipya hivi la ndege linaendeahwa kwa faida Dunia hii
 
CAG aliyepita prof Assad alitoa ripoti mbaya ya ununuzi wa hizo ndege matokeo yake Ndungai akamvalia njuga hadi akatolewa, na Mara zote mkuu aliyepita alitangaza faida ya hizi ndege. Mkaguzi Kichere atuambie ni kweli hii ndiyo taarifa aliandaa kumpelekea JPM au ameiedit baada ya kugundua kuwa anaepelekewa siyo JPM tena.
Hii ndio Halisi Editing tayari wasaidizi wake wanayo siku nyingi
 
Back
Top Bottom