Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

sio nyingi sana kwenye uendeshaji wa shirika la ndege hasa kwenye kipindi hiki cha covid na ushindani mkubwa
Ni kweli kwako ila kwa Nchi kama hii ni pesa nyingi sana hapo ingetoa Zahanati na kujenga Mabweni na vifaa kibao mashuleni.
Hiyo ni hasara kubwa iliyokuwa wazi inafahamika.Kwa jinsi zilivyonadiwa kile kipindi Corona isingekuwa tishio kwetu.
 
Ngoja kama msemaji mkuu wa utopole kama hajawalima barua , maana yeye ndio mhariri mkuu wa nchi hataki headline za hivi, hii ndio dhambi ya kuweka makanjanja kwenye mambo nyeti sijawahi kumkubali yule mbulula si alisemaga ATC imepata faida Bil 28 yaani tutajua mengi sana kwa kipindi kifupi
 
View attachment 1737379

Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.

Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni
Hakutaka viandike kwa sababu alitaka sifa kuwa serikali yake hakuna ufisadi.
 
Ni ukewa mdogo wa watu tu wana wanaojua walijua kabisa shirika lilikuwa linapata hasara. Hakuna shirika lipya hivi la ndege linaendeahwa kwa faida Dunia hii
... tatizo linakuja pale unapoficha hasara! Kama ndio utaratibu kwamba shirika jipya ni lazima liendeshwe kwa hasara kwanza, well and good, busara ilikuwa ku-declare hivyo na hiyo hasara publicly badala ya kuficha! Mbona rahisi tu?
 
Makando kando na matokeo ya kukurupuka ya Jiwe yanaanza kuonekana.


"Vinchi vidogo vinatushinda kuwa na ndege!!!" ----- Hayati alinukuliwa wakati fulani akitamka maneno hayo. Kifupi ni kwamba yeye hakuangalia "economic side" ya kuwa na ndege bali yeye aliangalia "prestige and pride side" tu ya kuwa na ndege.
 
View attachment 1737379

Nani aliyevikalia vyombo vya habari kuripoti ufisadi wa kutisha,alikuwa na malengo gani? Kwani ufisadi ukianikwa si anapata habari anashughulikia? Sasa kwa nini akataze? Alikuwa anafaidika? Mimi sijui.

Itoshe kusema kwamba ni Mwisho wa Enzi,kwa sasa ni mshike-mshike ndege tunduni
Sasa mbona hayo mabilioni yametaka kuchotwa baada ya Magu kufa, hii sasa inahusiana nini na Magu?
 
Hakuna kampuni kubwa duniani itaongozwa bila hasara wafanyabiashara wanaelewa labda lengo ilikuwa ni faida ya billion 200 faida ikapatikana billion 140 hapo kuna hasara kwenye faida


Only wakalimani wachache wanaweza kuelewa hii kitu
we Zombi Mweusi usitufanye Watanzania misukule
 
Hii habari ya ATCL mwenye kujua mpango kazi tarajiwa atuwekee hapa

Nia ni kujua report hii ni gharama na matokeo tarajiwa, tujue pia ni report ya kipindi/muda gani wa uendeshaji ili kujua walitegemea kuanza kutengeneza faida lini, na hasara imesababishwa na nini
 
Back
Top Bottom