Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

CCM sio mchezo inapendwa wagombea watia Nia ubunge wafikia elfu nane Hadi asubuhi ya Leo kwa mujibu wa Raisi
 
“Niwaombe sana msiende kutafuta umaarufu, kafanyeni kazi umaarufu uwatafute ninyi, wanaotafuta umaarufu mara nyingi mwisho wao sio mzuri sana…umaarufu utakutafuta badala ya wewe kuutafuta ” Mhe. Selemani Jaffo - Waziri OR-TAMISEMI

ITV Tanzania

Mpaka leo hii Waziri Jaffo 'Mzee wa Kupiga Nyungu' maneno haya yamekutoka inaonyesha ulikuwa humpendi na umefurahi ' Kang'olewa ' Jijini.

Jafo!
 
Mimi sitaki kutia nia ila nataka nikichangie chama hela kidogo ya kampeni. Nina laki mbili na nusu tu.
 
CCM wamejikosesha pesa za bure, kama ubunge tu zimekusanywa million 80 vipi kuhusu forms za urais Zenjibari wamekusanya ngapi? na vipi kama wangeruhusu pia forms za urais bara zitolewe wangekusanya pesa kibao na kisha kumsimamisha Magu!!
 
Jamani acheni kunitia hasira mie mwalimu wa hisabati 🤬

100,000 x 8,000 = 800,000,000. Milioni Mia Nane.
 
CCM sio mchezo inapendwa wagombea watia Nia ubunge wafikia elfu nane Hadi asubuhi ya Leo kwa mujibu wa Raisi
Wangeruhusu na watia nia urais uone kama wasingefika 10,000 siku ya 3. Magufuli na wabunge wa ccm wamefanya kila mtu ajione anaweza kuwa rais na mbunge
 
Mimi sitaki kutia nia ila nataka nikichangie chama hela kidogo ya kampeni. Nina laki mbili na nusu tu.
Ngoja tuombe Chama watoe akaunti ya kuchangia Mheshimiwa Polepole tunaenda kwenye uchaguzi tunaomba akaunti ya chama tunayoweza changia iwe kwa simu au deposit mtuwekee hadharani
 
Back
Top Bottom