Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Niwaombe sana msiende kutafuta umaarufu, kafanyeni kazi umaarufu uwatafute ninyi, wanaotafuta umaarufu mara nyingi mwisho wao sio mzuri sana…umaarufu utakutafuta badala ya wewe kuutafuta ” Mhe. Selemani Jaffo - Waziri OR-TAMISEMI
ITV Tanzania
Mpaka leo hii Waziri Jaffo 'Mzee wa Kupiga Nyungu' maneno haya yamekutoka inaonyesha ulikuwa humpendi na umefurahi ' Kang'olewa ' Jijini.
Bashiru anaikaribia kukusanya 1billion kwenye fomu tu za kuweka nia.CCM sio mchezo inapendwa wagombea watia Nia ubunge wafikia elfu nane Hadi asubuhi ya Leo kwa mujibu wa Raisi
NdioHii kaisema leo?
Sasa rudia hiyo hesabu kwa calculator, alafu urudie sentensi yako.Elfu 8 kila fomu Laki moja zimepatikana Mil 80
Wilaya gani ataiweza? Ninong'oneze nimstue Meko afanye vitu vyakePascal Mayala vipi kapata uteuzi?
Wangekuwa 800 zingepatikana shs ngapi?Elfu 8 kila fomu Laki moja zimepatikana Mil 80
Jamani acheni kunitia hasira mie mwalimu wa hisabati 🤬CCM wamejikosesha pesa za bure, kama ubunge tu zimekusanywa million 80 vipi kuhusu forms za urais Zenjibari wamekusanya ngapi? na vipi kama wangeruhusu pia forms za urais bara zitolewe wangekusanya pesa kibao na kisha kumsimamisha Magu!!
Ni milioni 800 sio 80Elfu 8 kila fomu Laki moja zimepatikana Mil 80
Angekuwa sawa kama fomu zingekuwa zinauzwa elfu 10.Yupo sawa
Wangeruhusu na watia nia urais uone kama wasingefika 10,000 siku ya 3. Magufuli na wabunge wa ccm wamefanya kila mtu ajione anaweza kuwa rais na mbungeCCM sio mchezo inapendwa wagombea watia Nia ubunge wafikia elfu nane Hadi asubuhi ya Leo kwa mujibu wa Raisi
Ngoja tuombe Chama watoe akaunti ya kuchangia Mheshimiwa Polepole tunaenda kwenye uchaguzi tunaomba akaunti ya chama tunayoweza changia iwe kwa simu au deposit mtuwekee hadharaniMimi sitaki kutia nia ila nataka nikichangie chama hela kidogo ya kampeni. Nina laki mbili na nusu tu.
Elfu 8 kila fomu Laki moja zimepatikana Mil 80
HESABU ZA WAPI HIZO?
Hivi machadema yalitegemea kuwapiga kwenye form,zimeyadodea ,yakome.kuwaiga ccm[emoji23][emoji23][emoji23]Ni milioni 800 sio 80
Chadema wanatuonea wivu .Sisi hela ya kuanzia kampeni tayari tunayo kibindoni
Chadema mi fomu ya kutia Nia imewadodea