Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Ngojea utawala upinduke atasema alipataje pataje hiyo nyumba.Ana nyumba yake masaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngojea utawala upinduke atasema alipataje pataje hiyo nyumba.Ana nyumba yake masaki
Hee si kanunuaNgojea utawala upinduke atasema alipataje pataje hiyo nyumba.
Pascal Mayala vipi kapata uteuzi?
Sawa ataonyesha alipopata pesa ya kununua hiyo nyumba kama ni mkopo atatoa bank statement kuonyesha au kama ni kudunduliza kupitia salary itaonekana kwenye BS.Hee si kanunua
Kama Magu Hausiki kwa chochote na uchukuaji Form wake; Believe me Yule jamaa Hapiti; Maana hata Upatikanaji wa Kura kwenye Kamati atapata shida sana;Mwanza sio wapuuzi.Makonda anajua Nyamagana kuna ushindani mkubwa. Anajua asingepata. Kigamboni ni rahisi kupata maana ukuu wake wa mkoa kautumia vizuri kujijengea mazingira mazuri pale Kigamboni na kuna wasukuma kibao pale Kigamboni.
hahahaaMaelezo ndio swali lenyewe, maana naona inakimbilia wiki tokea RC mpya ateuliwe lakini wa zamani hajakabidhi ofisi shida nini?
Au anadhani Rais anaweza Ku revise maamuzi na kumrudisha mtoto mpendwa?
Tunataka Kunenge akabidhiwe ofisi achape kazi kwa nafasi, na Makonda asidhani huyo bado ni RAS, ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa na anaweza kuagiza Makonda aende kituo chochote cha polisi akaseme RC kaniagiza nije kuripoti.
View attachment 1513418
Lazi hupewi kwa udini. Unapewa kwa uwezo wako.Hivi hakuna waislamu wa 'Ponda' wenye sifa za kushika nafasi hizi? Naona ule uwiano mbaya wa Ponda unathibitika!