Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

Mwanza sio wapuuzi.Makonda anajua Nyamagana kuna ushindani mkubwa. Anajua asingepata. Kigamboni ni rahisi kupata maana ukuu wake wa mkoa kautumia vizuri kujijengea mazingira mazuri pale Kigamboni na kuna wasukuma kibao pale Kigamboni.
Kama Magu Hausiki kwa chochote na uchukuaji Form wake; Believe me Yule jamaa Hapiti; Maana hata Upatikanaji wa Kura kwenye Kamati atapata shida sana;
Ila kama mzee yuko Backbone, basi hapo ni uhakika; Lakini pia Brother Kigamboni ni moja ya Sehemu ambayo watu wake wanajielewa vizuri hata kama watakuwa na Mapenzi na Chama, jamaa anaweza kupigwa Chini; Ndugulile alikuwa best candidate last time; na ni Mtu makini.
 
Maelezo ndio swali lenyewe, maana naona inakimbilia wiki tokea RC mpya ateuliwe lakini wa zamani hajakabidhi ofisi shida nini?
Au anadhani Rais anaweza Ku revise maamuzi na kumrudisha mtoto mpendwa?

Tunataka Kunenge akabidhiwe ofisi achape kazi kwa nafasi, na Makonda asidhani huyo bado ni RAS, ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa na anaweza kuagiza Makonda aende kituo chochote cha polisi akaseme RC kaniagiza nije kuripoti.

IMG-20200721-WA0045.jpg
 
View attachment 1513418
hahahaa
 
Hivi hakuna waislamu wa 'Ponda' wenye sifa za kushika nafasi hizi? Naona ule uwiano mbaya wa Ponda unathibitika!
Lazi hupewi kwa udini. Unapewa kwa uwezo wako.
Mambo ya uislam sijui ukristo... hizo ni sababu zisizo na tija.
 
Back
Top Bottom