Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

You can't be this dumb man. Kadi sio lazima iwe high quality ila lazima iwe na info za kutosha kuonyesha legitimacy yake. Mnatetea ujinga
Mtoto wa darasa la pili c ndo anastahiki kupewa kadi isiyo na info za kutosha,au unatafuta kichaka cha kuficha nia yako ya awali kwamba ulilenga kwalite!?
 
Mtoto wa darasa la pili c ndo anastahiki kupewa kadi isiyo na info za kutosha,au unatafuta kichaka cha kuficha nia yako ya awali kwamba ulilenga kwalite!?

Mtoto wa darasa la pili ana info gani zaidi ya jina lake? Hata birthday party na harusi huwa kadi zinasema sherehe inahusu nini. Nyie mnaficha mnaalika watu ka mbuzi. Kadi ka imetengenezwa ghetto Hapo utasikia imetumika 1 billion kuprint.

I fully support DPW ila huu mualiko wa mchongo.
 
Nae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.
Aliyepeleka kadi ya mwaliko unamfajamu ni nani?? Je unamfahamu aliongea nn kabala na baada ya kukabidhi kadi ile? Je unamfahamu aliyepiga picha kadi ile na lengo la kufanya vile??
 
27.5 % ya wapiga kura wanatokea TEC,kama ulikuwa hujui wauza nchi wanalijua hilo.
 

Kwani TEC walipinga mkataba wa TPA na DP World?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wameshaambiwa ni hafla maalum inatosha kama mlitaka kujua zaidi mngepiga simu kuulizia. Kualikwa ikulu ni heshima kubwa na siyo kila mtu anaweza tu kujiendea.
Wewe jamaa kweli hivi unatumia akili kweli?
Yaani wewe unipe mwaliko bubu
Mimi nianze kuuliza mwaliko wa nini?

Mbona ipo wazi, kadi huwa inajitosheleza na inaeleza mwaliko ni wa nini
Acha wehu bwana, hata kama ndo utetezi usijinyofoe akili kiasi hicho.
 
Hakika hiili linaenda kua pango la wanyang'anyi
 
Tatizo la kuongozwa na wapagani ni pamoja na kutojali imani za watu wengine.
Yaani siku ya ibada, unamwalika mtumishi wa Mungu, asilishe kondoo wa Bwana, kwa hafla ambayo ilipaswa kufanyika Siku za kazi!
Halafu kama haitoshi, unawasimanga kabisa kupitia wasanii!!
 
Unamwita rais ''mheshimiwa'' wakati ni tapeli anayewafanyia ghilba viongozi wa dini? Hii ni kashfa mbaya sana na nitashangaa kama maaskofu hawatasusia shughuli zote za ikulu mpaka rais aombe radhi hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…