Unaondoka tu kama unaondoka Grocery?Fr. Kitima nae aachage kupenda mialiko ya Ikulu.
Haipendezi kuibuka leo wakati walishaenda na wakashiriki!
Kama aligundua utofauti wa kadi na MUKTADHA alioukuta alipaswa kuondoka!
Kwenye hili siwezi kuilaumu serikali na genge lake!
Huna UWEZO wa kutoa USHAURI.Kuna Watu Wanakera sana. Hivi Huyu Kitimuuu anajitetea kwa Muda Mrefu kama vile Mwana Mama anayetetea ndoa yake. Au Kule Chadema kuna mtandao wa Tigo manatoaga huko. Kuna Vitu vinakera Mpaka siyo poa.
Nilichokigundua kumbe siyo changamoto za Mkataba bali ni Udini na Ukabila ndivyo vinavyowasumbua akina Nongwa.
Rais anashauriwa siyo Kukoromewa kama nyie mnavyotaka. Rais akishauriwa anaupokea ushauri na kuufanyia kazi na ndivyo alivyofanya lakini huo udini na Ukabila hautotufikisha popote Keng nyie
Umeelewa? Au unabwabwaja?Kwani, mapambo ni CONTENT?
Alishindwa nini kutoa udhuru! Au kuna ulazima gani wa kuhudhuria hafla ya mtu ambaye umetoka kumkosoa?Unaondoka tu kama unaondoka Grocery?
Kubwabwaja kuko wapi? Hujawahi kuona mabango ya COCA-COLA lakini kinachojadiliwa ni upandaji miti?Inaonekana ULINZI unaokuwepo eneo alipo RAIS na PROTOKALI yake huijui.Umeelewa? Au unabwabwaja?
Excuse aliyotoa Fr Kitima, naiona haitoshi unapoalikwa na kufika eneo la tukio na kuona hukubaliani na kinachoendelea kuna sababu ipi ya kukufanya kukaa pale, unless atuambie Kama alilazimishwa kuhudhuria!
I'd like to differ, it was just a coincidence, hakuna nia ovu yoyote!.Kuna sehemu tatu za hili jambo
Kwanza, kitendo cha kumtangaza DAB kwa nafasi ya uenezi siku ile ile ya mkutano kinaashiria nia ovu iliyokuwepo kupoteza mjadala. Kama kuna jambo jema kwanini zitumike mbinu za kijima kama hizo?
I'd like to differ, it was for discreet reasons na hakuna nia ovu yoyote!. Enzi za Blaza, mialiko ilikuwa inatoka Ikulu, media tunatakiwa tuwepo bandarini saa 2 asubuhi, bila kuambiwa ni nini, halafu saa 4:00 Mwamba anaibuka bandarini katika ziara ya kushtukiza!.Pili, kukaribisha watu kwa kadi zisizoeleza tukio kulikuwa na nia ovu, kama nia ilikuwa njema kwanini hawakuandika?
Kitendo cha kuitwa na the highest authority hata bila kuambiwa unaitiwa nini, justifies wewe kuitika mwito huo!.Tatu, waalikwa kwenye shughuli isiyofahamika ni tatizo. Unakwendaje kwenye tukio usilojua?
I'd like to differ, ukiitwa na a trusted source, the highest authority, huhitaji kutumia busara yoyote kujiuliza uende au usiede!, ni unakwenda fasta!.Akili ni uwezo wa kutambua au kuyaona mambo kwa haraka. Busara ni uwezo wa kuchanganua habari kwa uyakinifu
Waliokwenda hawakutumia busara
JokaKuu Pascal Mayalla
Uko sahihi, mkuu.Kila mara nimekuwa nikisema humu, nchi hii ina watu wajinga na pengine ni namba moja Duniani huwa naona sieleweki.
Hebu fikiria, mtu anasema Mtumishi wa kanisa anayetunzwa na kanisa, Dkt na mwalimu wa chuo kikuu ana uroho wa ubwabwa.
Unaweza kukuta ni mtu mzima kabisa huyo na anategemewa na familia yake, halafu anauona ubwabwa kama kitu kikuubwa sana. Hajafikiria kitu kingine, ila ubwabwa. Ubwabwa kwake ndio kitu cha maana sana.
OKMuislamu kumkejeli Padre hadharani ni tatizo tena Kubwa tu kama Hujui
Huyo Mrisho Posho za kampeni 2025 ndio ameshazikosa kwa sababu Wagalatia watamkimbia kama Ukoma!
kwa hili waliteleza, huwezi kumualika mtu kwa kumficha dhima ya huo mwaliko wenyewe, hakuna mwaliko wa namna hiyo. unajua mialiko ya namna hii unaweza kuingizwa kwenye inshu ngumu bila kujua Wala kukusudia kufanya hivyo.'Hafla Maalum', wangeandika utiaji sahini asingeenda
Umeonyesha hadharani udhaifu wa akili yako ilivyo. Kwani mwaliko ulikuwa wa siri? Kwani document hiyo ya mwaliko ilikuwa ya siri?Kama kitima
Kama kitima ndo kaamua kuusambaza huu mwaliko basi naiomba mamlaka imkamate mana anajiona kwamba serikali Iko answerable kwake na ameiweka mfukoni
Ni ajabu sana miaka 60 ya uhuru bado watu wenye fikra kama zako bado wanaishi. Hivi Fr Kitima anaweza kufuata ubwabwa ikulu? We ni mwehu hustahili kuheshima kabisa, hata ubwabwa huo ungekuwa ulaya bado hakimbiliiNae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.
Ndio tunapopata tafsiri kuwa hao wakubwa wa Chama na Serikali wanastahili kupimwa uwezo wao wa akili maana mambo ya wazi kama haya hawawezi kuelewa?Hata haya so called Maridhiano na Vyama vya Siasa yanendeshwa hivi hivi Kisela sela na Mrisho Mpoto anapewa "Vikaratasi" kutoka Juu ili maudhui ya Nyimbo zake yafurahishe masikio ya Wakubwa wa Chama na Serikali.
Daaah wewe jamaa huwa na comedy sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yesu: Ukialikwa harusini kaa siti za nyuma Ili akija Bwana harusi akuulize unakaaje Siti za nyuma Njoo Siti za mbele ufurahie kalamu
Kwa Kawaida ukiwahi Siti za mbele ndio akina Mrisho Mpoto watakuona na kukuletea dhihaka