darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Sijawahi kuweka picha ya rais yeyote chumban kwangu lakini hii ntaweka, ila akileta utawala wa ki jiwe jiwe basi itaondolewa mara moja japo sioni hilo likitokea.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Tunaomba hiyo katuni mkuuu....enz za Jiwe alisikika akimwambia Kipanya apunguze komwe lakeIla Masudi kipanya kampatia sana kumchora kama kikatuni
Hivi ni Rais wa awamu ya ngapi?
Kwa kosa gani?
haya maneno mwambie Magufuli aliyekataa kuchukua tahadhariMungu asipokutunza pamoja na hayo maarifa yako unaweza ukafa na hiyo afya yako, ukaawacha waliolalia vitanda hospitalini. Acheni kumpangia Mungu kazi ya kufanya.
Hiyo haipo kiofisi code, kuna watu nyuma na ipo casual not officially.Mimi pia naipenda hii. Safi sana. wangetoa tu hizi glass, madame atokelezee na hii picha. Wahusika tafadhali zingatieni hili
Anae mwanaume wa shoka
Kutokana na mambo ya mfumo dume uliokithiri inawezekana Madame President akaongoza kipindi kimoja pia.
wale wanachama wa CHAPUTA,Mungu anawaona!
Sasa mkuu masikio unayaonaje na amejifunga ushungi?Hiyo picha rasmi Ina kasoro kwani mhedhima amekaa upande , picha rasmi huwa zinaonyesha kwa ufasaha mabega yote na masikio yote , waliofika nchi za watu , abroad wanajua picha rasmi lazima ionyeshe masikio yote mawili kwa ufasaha ni sio upande , anyway picha ni nzuri .
Wewe unaweza kuchukua tahadhari gani Ili uishinde mauti juu ya mwili wako?? Ingekuwa rahisi kama unavyoandika hapa, watu wasinge kuwa wanakufa.haya maneno mwambie Magufuli aliyekataa kuchukua tahadhari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzalendo umekushinda mkuuMungu ampe maarifa Rais wetu na ajifunze kuwa msikivu. Ila ana jicho huyu Mama [emoji39]
Awamu ya tano...5!.Ila Masudi kipanya kampatia sana kumchora kama kikatuni
Hivi ni Rais wa awamu ya ngapi?
Wanaudhi kweli kweli imeshatuchosha maana tv hazina maana kabisa sasaMagufuli ndio basi tena. Haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika.
Ni picha nzuri na yenye kupendeza.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu