IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu

Sijawahi kuweka picha ya rais yeyote chumban kwangu lakini hii ntaweka, ila akileta utawala wa ki jiwe jiwe basi itaondolewa mara moja japo sioni hilo likitokea.
 
Mungu asipokutunza pamoja na hayo maarifa yako unaweza ukafa na hiyo afya yako, ukaawacha waliolalia vitanda hospitalini. Acheni kumpangia Mungu kazi ya kufanya.
haya maneno mwambie Magufuli aliyekataa kuchukua tahadhari
 
Hiyo picha rasmi Ina kasoro kwani mhedhima amekaa upande , picha rasmi huwa zinaonyesha kwa ufasaha mabega yote na masikio yote , waliofika nchi za watu , abroad wanajua picha rasmi lazima ionyeshe masikio yote mawili kwa ufasaha ni sio upande , anyway picha ni nzuri .
 
Mimi pia naipenda hii. Safi sana. wangetoa tu hizi glass, madame atokelezee na hii picha. Wahusika tafadhali zingatieni hili
Hiyo haipo kiofisi code, kuna watu nyuma na ipo casual not officially.
 
Hiyo picha rasmi Ina kasoro kwani mhedhima amekaa upande , picha rasmi huwa zinaonyesha kwa ufasaha mabega yote na masikio yote , waliofika nchi za watu , abroad wanajua picha rasmi lazima ionyeshe masikio yote mawili kwa ufasaha ni sio upande , anyway picha ni nzuri .
Sasa mkuu masikio unayaonaje na amejifunga ushungi?
 
Sawa ile nyingine niliitungua ijumaa
kesho niitundike ya mama
 
Mungu ampe maarifa Rais wetu na ajifunze kuwa msikivu. Ila ana jicho huyu Mama [emoji39]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzalendo umekushinda mkuu
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hii imekaa kigalatia
 
Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu

Ni picha nzuri na yenye kupendeza.
Kwa kuongezea, kwa ushauri wangu binafsi(mimi kama mtaalamu wa rangi na picha), ilipaswa hiyo nguo nyeusi (Black) iwe nyeupe (white)ili;

1. Kupata better reflection ya picha (itakayokuzwa na background ya blue)

2. Kuzuia colour absorption (ambayo inaletwa na background ya blue.)

3. Kung'arisha mvuto. (Kuongeza vibe ya muonekana wa mama Samia kama mwanamke haswaa, smart&peace). Kupendeza kwa mwanamke kwende hadhara ni ku-shine tu.

Yote kwa yote, aliyempendezesha (make up) mama Samia, kumvisha miwani, kumvalisha mtandio mwekundu na kuweka hiyo background ya bluu, nampa big up. Amefanya kazi yake kwa 100%. Hivyo ndivyo unavyotakiwa.
 
Back
Top Bottom