Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Ninafuraha sana, Chuma Hicho. Msubiri ubatizo tu
 
Nimependa sana background ya wimbo. Yaani watanzania mnajilaani na vinywa vyenu.
 
Kama hujui international trade basi tuachie. Katika masuala ya biashara za kimataifa suala la uthibitisho sio muhimu. Bei zinaweza kupanda kwa kushukia tu Marekani wataipiga Iran.
Hili limeshazoeleka hata kina Trump hufanya matukio maksudi ili kuathiri uchumu.. lkn kwa uvumi wa kitoto namna hii ikulu wafanye Yao tu ni upuuzi.
 
Siyo itv pekee, hat clouds nao wanapiga wimbo huo , ila amekua baridiiii sijawai kumuona alivokua hiv,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…