Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

"Tumezaliwa na ujinga, hivyo inahitajika jitihada kidogo kutoa huo ujinga na inahitajika jitihada kubwa kuugeuza ujinga huo kuwa upumbavu, wengi wamechagua kutumia jitihada kubwa"-xcv
Hii inawahusu wengi mabavicha.
 
Acha wewe. Alitakiwa awe Lindi then arudi Dodoma. Mwili ukaenda angainst na yeye. Akajikuta yupo Dar. All in all kila kitu kipo undercontrol. Tatizo na yeye ni mbishi sana.
Mkuu ulikua unaomba mapenzi ya mungu yatimie😂😂😂
 
Vya kujifunza anavyo vingi sana ikiwemo kuharibu soko la korosho
 
Eti wanasema JPM ajifunze
Wakati wao ndio failures wa kila mbinu and missions

We ndio kiazi kweli, nani unamuona anayetetemeka kwa mfano? Atokee hiyo live asitokee ujumbe umefika kuwa hapendwi mtu bali inapendwa haki.
 
Acha wewe. Alitakiwa awe Lindi then arudi Dodoma. Mwili ukaenda angainst na yeye. Akajikuta yupo Dar. All in all kila kitu kipo undercontrol. Tatizo na yeye ni mbishi sana.
Muombeeni, lakini mjue maombi ya mtu mwovu sio tu Mungu hayafanyii kazi bali hata hayasikii.
 
Acha wewe. Alitakiwa awe Lindi then arudi Dodoma. Mwili ukaenda angainst na yeye. Akajikuta yupo Dar. All in all kila kitu kipo undercontrol. Tatizo na yeye ni mbishi sana.

Anatakiwa awe positive zaidi kwa kila mambo ili atuvushe
 
James88 Sky Eclat njoni huku muangalie live na roho zenu za kishetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…