Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Kama wanavigezo tatizo liko wapi watu wana haki ya kuchangua anacho taka kua ndo demokurasia hiyo
 
Ole Sendeka ni kijana?
 
Kwani stand ya Arusha inatakiwa ijengwe wapi? Huko karibu na bay-pass
 
Mwita Waitara atamg'oa Heche.
 
Makonda hata afanye nini hakuna wa kumfanya chochote,mtoto kipenzi wa baba huyo.
 
Kwa nini fomu ya urais imetolewa moja?
 
Kwani stand ya Arusha inatakiwa ijengwe wapi? Huko karibu na bay-pass
 
Kwa kifupi ni kasema hajali kura na hajali swala la wengi wape. Hii inaweza kusaidia kucounter watoa rushwa ndani ya chama.

Nje ya chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…