johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Basi safari yao imefika mwisho!Makonda na olesabaya walivyopania sasa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi safari yao imefika mwisho!Makonda na olesabaya walivyopania sasa...
Kama wanavigezo tatizo liko wapi watu wana haki ya kuchangua anacho taka kua ndo demokurasia hiyoRais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.
Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Ole Sendeka ni kijana?Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.
Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Kwakweli JPM ni kichwa akiamua kukumaliza kisiasa ni sekundeWamekumbushwa Naibu Waziri wa mambo ya nje alikuwa wa nne lakin akapewa ubunge
Hahahaaaa........ Ni RC bwashee!Ole Sendeka ni kijana?
Mwita Waitara atamg'oa Heche.Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.
Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu!”Unaweza kupita kwenye kura za maoni, lakini ‘nikakukata’.... itategemea siku hiyo nimeamkaje”.
Hii kauli ni habari kamili!
Kwa nini fomu ya urais imetolewa moja?Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.
Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk
Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Mpenzi wa Mungu hatoi fomu mojaMsema kweli ni mpenzi wa Mungu!
Mtatiro hautamani ubunge, ameridhika!Statement mbaya sana kwa Julius Mtatiro.
Umeenda kuchukua ukanyimwa!Kwa nini fomu ya urais imetolewa moja?
JPM hanaga urafiki wa kudumu na mtu! Yetu macho na masikioMakonda hata afanye nini hakuna wa kumfanya chochote,mtoto kipenzi wa baba huyo.