Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Ww kiazi cheupe......
hujui kitu....
chuki zimekujaa mpaka mabyakoni...
 
Alianza na yule dada mwanasheria halmashauri Korogwe, kumfananisha na nguo ya ndani, akaja Arusha akamchafulia Ntibenda mzee wa watu mstarabu, akaja kwa Lema, akaja sasa wa wasaidizi wake.

Ila pia nitoe ushauri kwa mamlaka za uteuzi, wawe wana angalia background za watu, Gambo hakuwahi kuwa na sifa za kuwa kiongozi.. Kuteua watu wa aina hii kuna liangamiza Taifa na kujengeana chuki.

Ni kweli Mh Rais ana mapenzi mema na vijana lakini awachunguze kwanza kabla ya kuwa amini.. Background zao zichunguzwe kwanza na sio mradi tuu mteuzi kaamua kumpa nafasi.. Hata huyu Dc alie pewa nafasi Arusha nina mashaka nae kama ata faa kwenye hiyo nafasi hana kauli za kizalendo..
 
Rais Magufuli ni msema kweli!
 
Mnageukana sasa ndio mda wa unafiki, Ona unavyowageuka viongozi wako
 
Mrisho Gambo amejitakia na kosa lake kubwa ni ubunge hilo swala limezungumzwa sana sio na Magu tu, ata Bashiru na Polepole kwa miaka yote ya nafasi zao wamerudia usiporidhika ulipo serikalini ukitaka mambo mengine nenda hila utapoteza nafasi ya serikali.


Lakini kwenye sakata la shule Gambo alikuwa sahihi kama shule inatakiwa kuwa na ukubwa wa eneo fulani kwa mujibu wa matakwa ya serikali inabidi iwe ivyo. Vinginevyo basi kanuni ifutwe shule zote ziwe ghorofa kupunguza mahitaji ya eneo (rules are rules).

Pili nyumba ya ibada ipo karibu sana na shule kama sio ndani ya eneo hilo nalo ni tatizo na busara ni kuisogeza. Gambo alikuwa sahihi sio Mkuu wa wilaya sijui mkurugenzi aliekuwa anataka shortcut ya kujenga shule ya ghorofa kusudi tu kanisa libaki.
 
Msalimie sana hapo nyumbani kwake Dampo Murriet.. Sasa akae vizuri huko akilindwa na CCTV camera alizofungiwa na benson bure huku akiinjoi harufu nzuri ya Dampo
Pamoja na kutenguliwa kwake, nashauri Serikali waendelee kumpa ulinzi, kama itaonekana kuwa anahitaji kulindwa. Ameshatengeneza maadui wakati wa utekeezaji wa majukumu yake na hivyo si vibaya kama Serikali wanaweza wakaendelea kumpa ulinzi ili kuhakikisha kuwa yuko salama hata baada ya kuwa ameondoka ofisini!
 
Akitakiwa awaonye mapema ili wafanye waliyotumwa kuliko kuonea watu kisa anategemea kugombea ubunge eneo hilo.
 
Maadui kwenye kiapo chao kipo? najua kuna upendo
 
Kilichomponza zaidi ni kutaka kutoa eneo la wazi kwa Waislam ili apate Kura za ubunge. Mkurugenzi alipogoma kutoa kiwanja RC akaenda kumchongea kwa Waislamu na kuanzia kimkoromea sasa mchizi Kala waya. Hapana chezea Magufuli.
Kumbe wamefanya kosa la kupeleka Siasa kwenye mhimili mwingine wa jamii ambao huwa mara zote hauendani na Siasa?
 
kama alijitengenezea maadui wakati akiwa mtawala huo ni ujinga wake serikali haipaswi kuingia gharama kwa sababu ya kipuuzi hivyo!

Na hii pia ni fundisho kwa watawala wote wa aina hii kwamba wakumbuke kuna kesho utawala wao utakoma watarejea uraiani maisha yao yatakuwaje ikiwa walitengeneza maadui?!.
cc bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…