Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Tatizo ni yeye wala sio hao wateule wake, yeye anateua kila post kila mtu anajiona ni mteule wa rais kwanini wasiwe na viburi, maana mkuu wa mkoa hawezi kumwajibisha mkuu wa wilaya wala mkurugenzi.
Matokeo yake ni kuvimbia na kutunishiana misuli tu.
A very good point......

Haya mavyeo Ni useless , Mimi mwenyewe nilikuwa private shirika Fulani, yaani Kila mtu anakuwa kijogoo maana anatoka HQ.......

Bosi Hana sauti............

Sisapoti cheo Cha Mkuu wa wilaya lakini ikibidi kiwepo Basi Mkuu wa mkoa angepaswa kuwaweka yeye Kama yeye......ili wamheshimu......

Na Mkurugenzi naye angekuwa muajiriwa tu kawaida. Asiteuliwe......
 
Kitendo cha aliyekuwa RC wa Arusha Mrisho Gambo kutaka aonekane ni mtu mwema huku akiwasiliba viongozi wenzake waonekane wabaya kwa hakika siyo jambo jema.

Kiukweli dhambi ikikomaa matokeo yake ndio haya, Gambo alianza na mbunge Lema lakini hatimaye kaondoka na DC na Mkurugenzi wa jiji huku akiwaacha RPC na Kamanda wa TAKUKURU wakikalia kuti kavu.

" Uswahili swahili" siyo mzuri kwenye uongozi.

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Mkuu johnthebaptist ,hata wewe ni "ndumilakutatu".
 
Ila kuna siri tusiyoijua. Au Makonda anajua kula na kipofu
Na huo muda ndio alioutumia kuonyesha yeye ni kipenzi cha baba kweli kweli na watu walivyokuja kuelewa hilo wakaamua ku-keep low profile tu ili yeye ajione ni mbabe/mshindi/gangwe.
 
Dah! nimekumbuka tu kipindi kile watu walivyoshikilia Magu kajificha na kumtaka arudi Dar.
 
Ameondoka nadhani tumuache akaanze maisha mapya, kumsiliba hapa sidhani kama itakuwa nafasi ya kumrekebisha baada ila ni kutoa sumu kwa wale waliokuwa na nyongo naye.
 
johnthebaptist , kama kuna kitu kizuri kisichokuwa na hila ndani yake, Rais akikifanta nitakipongeza. Ishu ya msikiti na kiwanja cha wazi, uamuzi wa Rais kuwa tukiacha kila sehemu ya wazi ijengwe, basi na Azania Front itaombwa ijengwe. Kwa hilo namsifu, uamuzi usiokuwa na hila! Akifanya zuri halina hila tutampongeza! Viwanja vya wazi viachwe wazi.
Aje Jamhuri hapa Dodoma pamevamiwa
 
Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.

Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
Mbatizwaji,naona leo umekoshwa kwelikweli
 
Gambo yupo hivyo tokea Shule ya Msingi Boma(Ilala Dar). Sema ni mpambanaji kwenye jambo lake,yupo tayari kwa lolote ili afanikiwe.
 
Umeona, hee? Nami pia nimejiuliza kuhusu hili. Huyu Rais anachukia demokrasia hata ile ya ndani ya chama chake? Tena iliyomsaidia akafika pale alipo. Mapema kabisa alitoka kwenye ualimu akaenda kuwa mkemia wa kiwanda pale Mwanza. Ubunge ni kazi ya uhakika kuliko u-RC ama u-DC. Ubunge hauwezi kutenguliwa na mwanadamu katika miaka yako 5. Labda Mungu akupumzishe kama ilivyotokea kwa Mama Lwakatare. Sasa ma-RC wanazuiwa kugombea ubunge. Ni sahihi hiyo?

Je, u-rais ukienda kwa chama kingine, hawa wa sasa watakuwaje ma-RC tena? Hata ukienda kwa CCM, nani ana uhakika kuwa atakuwa RC ama DED ama RAS ama DC come November 2020? Hata kama una uhakika, binadamu wote, kama ulivyosema, tuna hamu ya kukua na kwenda hatua nyingine. Hata ukiwa mwalimu, unatamani kuwa mwalimu mkuu msaidizi siku moja ama mwalimu mkuu ama afisa elimu. Udikteta uko kwenye damu ya huyu bwana. Hata haoni aibu. Anasema kabisa kwenye TV kuwa "itategemea nimeamkaje siku hiyo". Hasemi "tumeamkaje" anasema "nimeamkaje" bila aibu kabisa! Kwa maana nyingine haitegemei sifa za mtia nia.
Huyu Magufuli aache roho mbaya kwa wengine,hiyo tamaa ya madaraka ndiyo imemfikisha yeye kuwa Raisi wa JMT vinginevyo angeendelea kuwa mwalimu mwenye Diploma huko Sengerema Secondary School.

Kila mjanja ana donto ya kupata mafanikio zaidi. Magufuli acha roho mbaya wakubwa wako wangekuwa na roho mbaya kama wewe husingefika hapo ulipo
 
Umeona, hee? Nami pia nimejiuliza kuhusu hili. Huyu Rais anachukia demokrasia hata ile ya ndani ya chama chake? Tena iliyomsaidia akafika pale alipo. Mapema kabisa alitoka kwenye ualimu akaenda kuwa mkemia wa kiwanda pale Mwanza. Ubunge ni kazi ya uhakika kuliko u-RC ama u-DC. Ubunge hauwezi kutenguliwa na mwanadamu katika miaka yako 5. Labda Mungu akupumzishe kama ilivyotokea kwa Mama Lwakatare. Sasa ma-RC wanazuiwa kugombea ubunge. Ni sahihi hiyo? Je, u-rais ukienda kwa chama kingine, hawa wa sasa watakuwaje ma-RC tena? Hata ukienda kwa CCM, nani ana uhakika kuwa atakuwa RC ama DED ama RAS ama DC come November 2020? Hata kama una uhakika, binadamu wote, kama ulivyosema, tuna hamu ya kukua na kwenda hatua nyingine. Hata ukiwa mwalimu, unatamani kuwa mwalimu mkuu msaidizi siku moja ama mwalimu mkuu ama afisa elimu. Udikteta uko kwenye damu ya huyu bwana. Hata haoni aibu. Anasema kabisa kwenye TV kuwa "itategemea nimeamkaje siku hiyo". Hasemi "tumeamkaje" anasema "nimeamkaje" bila aibu kabisa!

Awaache vijana watimize ndoto zao bana. Huyu mzee unapenda ubabe,vitisho na kutia hofu kwenye kila jambo,wanashangaa sana wanaomshangilia na kumuabudu!!
 
"Siwezi kuwateua Watu kisha Wamekaa wanabishana tu ndiyo maana nimesema RC,DC, DED Arusha wapumzike kwanza na hili liwe fundisho kwa viongozi niliowateua, mkajenge element za kuvumiliana kama unataka kubishana nenda kabishane nyumbani kwako na Mke wako" - JPM

“Mkuu wa Mkoa Arusha ukasimamie migogoro, kuna migogoro mingine inatengenezwa makusudi, kaisimamie vizuri, mfano kulikuwa na mgogoro pale wa kanisa na shule kuna maamuzi hayakuwa ya kweli, nikawaambia wakitaka eneo wajenge ghorofa,Jiji haliwezi kuingia gharama kutafuta eneo”-JPM

“Kulikuwa na mgogoro wa Msikiti Arusha, eneo lao ni mita za mraba 10,495 na open space mita 4165, kuna kiongozi mmoja akawa anawaambia ombeni na hili eneo DED alipokataa shida, ni kumchonganisha DED na Waislamu na hili lilianza tangu enzi za Mwinyi,Mkapa, Kikwete wakakataa na mimi msimamo wangu ni uleule nakataa”-JPM

“Tatizo hili (la migogoro Arusha) lililetwa na Mkuu wa Mkoa Arusha(Gambo) anazungumza hivi huku, anazungumza hivi kule lengo ni kuonekana yeye ni mzuri sana, tusitoe ahadi ambazo haziwezekani lazima tusimamie Sheria, RC, DC msiende kuingia kwenye matatizo”-JPM
 
Umeona, hee? Nami pia nimejiuliza kuhusu hili. Huyu Rais anachukia demokrasia hata ile ya ndani ya chama chake? Tena iliyomsaidia akafika pale alipo. Mapema kabisa alitoka kwenye ualimu akaenda kuwa mkemia wa kiwanda pale Mwanza. Ubunge ni kazi ya uhakika kuliko u-RC ama u-DC. Ubunge hauwezi kutenguliwa na mwanadamu katika miaka yako 5. Labda Mungu akupumzishe kama ilivyotokea kwa Mama Lwakatare. Sasa ma-RC wanazuiwa kugombea ubunge. Ni sahihi hiyo?

Je, u-rais ukienda kwa chama kingine, hawa wa sasa watakuwaje ma-RC tena? Hata ukienda kwa CCM, nani ana uhakika kuwa atakuwa RC ama DED ama RAS ama DC come November 2020? Hata kama una uhakika, binadamu wote, kama ulivyosema, tuna hamu ya kukua na kwenda hatua nyingine. Hata ukiwa mwalimu, unatamani kuwa mwalimu mkuu msaidizi siku moja ama mwalimu mkuu ama afisa elimu. Udikteta uko kwenye damu ya huyu bwana. Hata haoni aibu. Anasema kabisa kwenye TV kuwa "itategemea nimeamkaje siku hiyo". Hasemi "tumeamkaje" anasema "nimeamkaje" bila aibu kabisa!
Hakuna sehemu ma RC wamezuiwa kugombea
raisi kasema wazi ni haki yao.....
but amewashauri wapunguze tamaa....
waridhike na nafasi zao......
muwe mnasikiliza vizuri hotuba....
 
Inasikitisha
Mungu atusaidie
 
Stop being silly. Rais anamshauri mtu anayemteua? Wewe mjing* nini? Juzi pale Dodoma kamwambia DED aoe. Kesho yake DED kasema anaoa kabla ya Dec 2020. Ni ushauri huo? Siyo lazima utetee kila kitu.

Siyo ushabiki wa timu ya mpira huu kuwa hata Yanga/Simba yangu ikifungwa nitaitetea tu. Ukiwaona waliotajwa hapo na wengine ambao hawakuwepo wanagombea tena basi ujue ulikuwa ni ushauri tu.

Hakuna sehemu ma RC wamezuiwa kugombea
raisi kasema wazi ni haki yao.....
but amewashauri wapunguze tamaa....
waridhike na nafasi zao......
muwe mnasikiliza vizuri hotuba....
 
Back
Top Bottom