rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
A very good point......Tatizo ni yeye wala sio hao wateule wake, yeye anateua kila post kila mtu anajiona ni mteule wa rais kwanini wasiwe na viburi, maana mkuu wa mkoa hawezi kumwajibisha mkuu wa wilaya wala mkurugenzi.
Matokeo yake ni kuvimbia na kutunishiana misuli tu.
Haya mavyeo Ni useless , Mimi mwenyewe nilikuwa private shirika Fulani, yaani Kila mtu anakuwa kijogoo maana anatoka HQ.......
Bosi Hana sauti............
Sisapoti cheo Cha Mkuu wa wilaya lakini ikibidi kiwepo Basi Mkuu wa mkoa angepaswa kuwaweka yeye Kama yeye......ili wamheshimu......
Na Mkurugenzi naye angekuwa muajiriwa tu kawaida. Asiteuliwe......