Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Utakufa masikini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mndali?😅😅 NimekusomaMimi siyo chawa
Kwani wale wanaoruhusu maandamano Ney York City.Manhattan na Washington DC ni alien au nao Wana two ball,ni wakati wenu machawa mjue Tz isnt behind any more,zile enzi za kujifuta na mabua na magunzi porini waambie zimepita wote wanatawazaKama Mwanaume basi toa pua yako uipeleke barabarani ukione cha mtema kuni.
Kwani wewe ndiye mtoa utajiri na kumfanya mtu kuwa na Umaskini?Utakufa masikini
NdioKwani wewe ndiye mtoa utajiri na kumfanya mtu kuwa na Umaskini?
Kibibi kimekausha taasisi zote wala mafungu hakana,karudi kwao huko kahamiaji halamuHabari zinazomhusu mama hazina mvuto tena na zipite tu wala sisomi.
Ukifeli kupanga, umepanga kufeli!Kupanga ni kuchagua
AaaaahaaaKama Mwanaume basi toa pua yako uipeleke barabarani ukione cha mtema kuni.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.
Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
Usitupangie, hata mie SIO mmojawapo!Umma wa watanzania upo upande wa Rais Samia na unaendelea kumuunga mkono .
Wenye akili Timamu na wanaojitambua ndio wapo upande wa Rais SamiaUsitupangie, hata mie SIO mmojawapo!
SawaUkifeli kupanga, umepanga kufeli!
Karibu!
Jibu swali,kuandamana ni haki ya kikatiba au sio haki ya kikatiba??Acha maneno mengiKatiba inaposema kuwa una haki ya kuishi, haisemi kwamba pia hautakufa, sio kila haki utaipata kila wakati