Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.

Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.

Hii picha ni baada ya kumaliza Mazungumzo Hayo

View attachment 3101186

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
" Farasi ni wa bure kupata ushindi, shujaa hajisalimishi kwa wingi wa nguvu""

Kwa mbaaaaali naona ANGUKO LA MNARA WA BABEL, the bfall of tower of Babel!!!😅🤣😅

Polisi elfu 40,000 it is nothing
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.

Hii ni baada ya kupita siku chache alipotoa hotuba nzito sana katika kilele cha maadhimisho ya miaka
60 ya Jeshi la Polisi na mkutano mkuu wa Maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi . iliyoitikisa ,kuitetemesha na kuiteka Dunia nzima hadi Washington DC Marekani na kujadiliwa kila kona pamoja na kuungwa mkono na kupongezwa na watu mbalimbali Duniani Kwote.

Hii picha ni baada ya kumaliza Mazungumzo Hayo

View attachment 3101186

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma Pia: Rais Samia amefunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania
Ndugu yako nani bwege wewe kyuma
 
Viongozi wanahitaji kurudi kwenye misingi na maadili ya uongozi.

Nchi haindeshwi kwa mihemuko
Mama na mwanae wameonja utamu wa madaraka
Biashara ya bandari inawatia wazimu
Anafikiri Akiondoka wataufaidi wengine

kwa katiba hii hata ingekuwa wewe inachochea utamani kitokoka madarakani na kuanza figisu za kidokteta kusalia madarakani

Tubadili katiba na kuandika katiba mpya ili watu wajinga wasiuitamani uraisi
 
Kaa kwa kutulia wala usiwe na presha.
Dogo unapambana kama yule waziri wa sadamu wakati wa vita ya pili ya irak

najua ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa kwenu Rungwe unachunga mbuzi

Ni hivi mama amefeli na anaenda kufeli, competely
Biashara ya barandari na wale wahuni dp world aliyopora kwa wananchi nayo anaenda kurejesha kama Alivyo surrender kwa wamasai
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Amefanya Mazungumzo Mazito Sana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillius Wambura Ikulu ya Dar es salaam.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama yako hana mpango wa kuishia awamu mbili!
 
20240921_064714.jpg
 
Dogo unapambana kama yule waziri wa sadamu wakati wa vita ya pili ya irak

najua ulikuwa bado hujazaliwa au ulikuwa kwenu Rungwe unachunga mbuzi

Ni hivi mama amefeli na anaenda kufeli, competely
Biashara ya barandari na wale wahuni dp world aliyopora kwa wananchi nayo anaenda kurejesha kama Alivyo surrender kwa wamasai
Mama anafanya vizuri sana. Pia kwa sasa bandari inafanya vizuri sana na mapato yameongezeka sana baada ya kufanyika maboresho na uwekezaji. Taifa limetamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana
 
Back
Top Bottom