Ikulu: Rais Samia afanya mazungumzo na Mkuu Wa Jeshi la Polisi Nchini, Camillius Wambura

Unataka kusema Samia kalewa madaraka?. Sipendi kuamini mawazo hayo kwani nimeziona jitihada zake za kuimarisha demokrasia kwa vitendo.

Alichoweza kukifanya Samia kilimshinda hayati JPM, msamaha anao Samia na kwa vitendo ameweza kudhihirisha, hayati JPM hakuweza kuongea na watu aliokwisha kuwaweka katika kundi la maadui zake.
Wewe ni mbumbumbu
 
Jikatalie wewe na ujinga wako.
Yumkini wewe ndiye mjinga.
Unapozungumza kwa nafsi za watu wengine, una uhakika gani na wao wamefikiwa kwa namna uliyofikiwa wewe? Kuna baadhi wamefikiwa kwa mabaya, kwa ndugu zao kutekwa na vyombo vya dola, na mpaka sasa haijulikani kama ni hai au wameuwawa. Na Rais Samia aliyetakiwa kuwahakikishia usalama, anasema kuwa hakuna utekaji, na hao waliotekwa na kupotezwa na vyombo vya dola, eti ni drama!! Na hao watekaji, boss wao mkuu ni Rais Samia.
Familia za hawa waliotekwa, ni kweli Rais amewafikia kwa kuwaletea majonzi makubwa. Hawa hawajafikiwa kwa namna kama ya kwako. Chawa wote mmefikiwa kwa kurushiwa vihela ili mshibe, muendelee kupiga kelele zisizo na tija kwa Taifa.
 
Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.
Sisi hatuna katiba. Rais Samia alitamka mbele ya wanahabari kuwa katiba si chochote, ni kijitabu tu. Ina maana halazimiki kukifuata wala kukitii hicho kijitabu.
 
Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.

Umma wa watanzania upo upande wa Rais Samia na unaendelea kumuunga mkono .
Usiseme uwongo. Mnafiki mkubwa wewe. Huo umma ulikuambia kuwa upo na Rais lini? Kwa takwimu zipi? Zilizopatikana kwa njia gani? Maneno yako yanaweza kuwa ya uwongo au ya kweli, lakini bila utafiti unaozingatia takwimu, unaonekana unaropoka tu!!

Ufadhali ungesema kuwa machawa wote wapo na mama, ungeeleweka. Maana sijawahi kusikia kuna chawa wa mama aliye kinyume na mama. Ninyi machawa yote ni ya mama.
 
Yumkini wewe ndiye mjinga.
Unapozungumza kwa nafsi za watu wengine, una uhakika gani na wao wamefikiwa kwa namna uliyofikiwa wewe? Kuna baadhi wamefikiwa kwa mabaya, kwa ndugu zao kutekwa na vyombo vya dola, na mpaka sasa haijulikani kama ni hai au wameuwawa. Na Rais Samia aliyetakiwa kuwahakikishia usalama, anasema kuwa hakuna utekaji, na hao waliotekwa na kupotezwa na vyombo vya dola, eti ni drama!! Na hao watekaji, boss wao mkuu ni Rais Samia.
Familia za hawa waliotekwa, ni kweli Rais amewafikia kwa kuwaletea majonzi makubwa. Hawa hawajafikiwa kwa namna kama ya kwako. Chawa wote mmefikiwa kwa kurushiwa vihela ili mshibe, muendelee kupiga kelele zisizo na tija kwa Taifa.
Acha kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu hapa. Una ushahidi upi wa kinyaraka au video za vyombo vya ulinzi viki husika katika utekaji wa watu?
 
Usiseme uwongo. Mnafiki mkubwa wewe. Huo umma ulikuambia kuwa upo na Rais lini? Kwa takwimu zipi? Zilizopatikana kwa njia gani? Maneno yako yanaweza kuwa ya uwongo au ya kweli, lakini bila utafiti unaozingatia takwimu, unaonekana unaropoka tu!!

Ufadhali ungesema kuwa machawa wote wapo na mama, ungeeleweka. Maana sijawahi kusikia kuna chawa wa mama aliye kinyume na mama. Ninyi machawa yote ni ya mama.
 
Attachments

  • VID-20240806-WA0043.mp4
    9 MB
nikiwakumbuka Ernest Mangu na Saidi Mwema, tumerudi nyuma.

JK alijitahidi kiasi kwenye teuzi, tulipata watu smart mfano wa Ndulu, Assad, Kashililah, Tido.
 
maisha ni mapambano
 
Attachments

  • a3f2cb96-1f44-4f71-b27d-72cce2fb3781.jpeg
    a3f2cb96-1f44-4f71-b27d-72cce2fb3781.jpeg
    442.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom