Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
haki ya kweli utaua; wapenda ua weye.Haki ya Mungu, wacha waweke kwato zao barabarani eti wanaandamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haki ya kweli utaua; wapenda ua weye.Haki ya Mungu, wacha waweke kwato zao barabarani eti wanaandamana
Wewe ni mbumbumbuUnataka kusema Samia kalewa madaraka?. Sipendi kuamini mawazo hayo kwani nimeziona jitihada zake za kuimarisha demokrasia kwa vitendo.
Alichoweza kukifanya Samia kilimshinda hayati JPM, msamaha anao Samia na kwa vitendo ameweza kudhihirisha, hayati JPM hakuweza kuongea na watu aliokwisha kuwaweka katika kundi la maadui zake.
Ukanye ulale mmbwwwa weweKama Mwanaume basi toa pua yako uipeleke barabarani ukione cha mtema kuni.
sema katika nchi ya kufikirikakatika nchi zenye uwajibikaji, hao wote wawili wangekuwa hawako katika ofisi za umma.
Hayo matusi ukatukane ukiwa unaandamana.ili ufundishwe adabuUkanye ulale mmbwwwa wewe
Wewe Una mtindio wa akiliKama Mwanaume basi toa pua yako uipeleke barabarani ukione cha mtema kuni.
Inaendeshwa kwa sheria ya kuzuia maandamano na kuua?Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.
Kwa sheria za Nchi.Inaendeshwa kwa sheria ya kuzuia maandamano na kuua?
Yumkini wewe ndiye mjinga.Jikatalie wewe na ujinga wako.
Sisi hatuna katiba. Rais Samia alitamka mbele ya wanahabari kuwa katiba si chochote, ni kijitabu tu. Ina maana halazimiki kukifuata wala kukitii hicho kijitabu.Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.
Nenda uandamane ndio utajuwa kuwa Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba.
Usiseme uwongo. Mnafiki mkubwa wewe. Huo umma ulikuambia kuwa upo na Rais lini? Kwa takwimu zipi? Zilizopatikana kwa njia gani? Maneno yako yanaweza kuwa ya uwongo au ya kweli, lakini bila utafiti unaozingatia takwimu, unaonekana unaropoka tu!!Umma wa watanzania upo upande wa Rais Samia na unaendelea kumuunga mkono .
Katiba gani pimbi ww, hii katiba ya tanu?Umma wa watanzania upo upande wa Rais Samia na unaendelea kumuunga mkono .
Acha kuropoka ropoka Hovyo hovyo tu hapa. Una ushahidi upi wa kinyaraka au video za vyombo vya ulinzi viki husika katika utekaji wa watu?Yumkini wewe ndiye mjinga.
Unapozungumza kwa nafsi za watu wengine, una uhakika gani na wao wamefikiwa kwa namna uliyofikiwa wewe? Kuna baadhi wamefikiwa kwa mabaya, kwa ndugu zao kutekwa na vyombo vya dola, na mpaka sasa haijulikani kama ni hai au wameuwawa. Na Rais Samia aliyetakiwa kuwahakikishia usalama, anasema kuwa hakuna utekaji, na hao waliotekwa na kupotezwa na vyombo vya dola, eti ni drama!! Na hao watekaji, boss wao mkuu ni Rais Samia.
Familia za hawa waliotekwa, ni kweli Rais amewafikia kwa kuwaletea majonzi makubwa. Hawa hawajafikiwa kwa namna kama ya kwako. Chawa wote mmefikiwa kwa kurushiwa vihela ili mshibe, muendelee kupiga kelele zisizo na tija kwa Taifa.
Kwanini umepanikiKatiba gani pimbi ww, hii katiba ya tanu?
Usiseme uwongo. Mnafiki mkubwa wewe. Huo umma ulikuambia kuwa upo na Rais lini? Kwa takwimu zipi? Zilizopatikana kwa njia gani? Maneno yako yanaweza kuwa ya uwongo au ya kweli, lakini bila utafiti unaozingatia takwimu, unaonekana unaropoka tu!!
Ufadhali ungesema kuwa machawa wote wapo na mama, ungeeleweka. Maana sijawahi kusikia kuna chawa wa mama aliye kinyume na mama. Ninyi machawa yote ni ya mama.